Recent content by magambo jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

    Wapumbafu kweli haya idhinishe ndoa ya jinsia moja kwasababu ya misada,ninyi sindio Manao jiuza sababu ya kupenda mtelemkoo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Albert Msando Ajiunga CCM leo

    Walio toka upinzani na kwenda ccm hii Leo ni Masha,msando,kitila mkumbo pamoja na alie kua mwenyekit wa bavicha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Maana yake nini? huwez kutuambia wanao toka ccm kua ndio bora kuliko waliopo chadema kwa muda mrefu tusubir tutaona meng
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

    Baki kwenye siasa za makonda na mjomba magu,huko sio kwako
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu: Rais Magufuli achana na Zitto Zuberi Kabwe

    Kama lowassa na sumay hawajakamatwa wala kulala ndani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu: Rais Magufuli achana na Zitto Zuberi Kabwe

    Zz kabwe anasema kama takwim mlizotoa hamjazipika mumruhusu CAG afanye kaz yake kama itathbika anaongopa huoni ndio itakua nafas nzur kumpoteza kabisa?
Back
Top Bottom