Recent content by magambo josephat

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Kama Kuna watu ambao siwezi hata kuwapa pole, basi Nape nimiongoni mwao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Toka tuko baruti na ulipo jaribu harakati cuf na ukakoswa mafisadi wa kukufika bei akili yako ikawa ya ajabu ajabu. Kwa akili ya kawaida pole pole ndo wakuzuia mabadiliko yanayokuja?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

    Twaweza sema Mungu yu na we
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ajibu mashambulizi ya Nape Nnauye

    Ccm wote wanafanana kama siafu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA Taifa njooni Musoma, Mwenyekiti na Katibu Wilaya wanakivuruga chama

    Hakuna mgogoro wowote katika tawi, kata na wilaya yote ya musoma mjini ndani ya chadema. Ila kuna semina za ujenzi wa chama katika matawi yote 76 ya musoma mjini. Chadema tunajiaandaa kuongoza manispaa na jimbo. Ila mgogoro ulipo ni kwa ccm na wananchi walio ikataa ccm. Na mwenyekiti na katibu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA Taifa njooni Musoma, Mwenyekiti na Katibu Wilaya wanakivuruga chama

    NCHI YANGU TZ Viroba vya muhongo na mathayo vinaweza kuua watu wetu wote. Ili uchaguzi wa wilaya ufanyike ni lazima kata zote zifanye uchaguzi. Sasa Iringo watafanyaje uchaguzi wakati chaguzi za kata zilisha fanyika? Nenda kwa aliye kutuma mwambie kakuchanganya
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tarime wamuomba Heche kugombea ubunge

    Kwa akili yako hiyo tukusaidie kwa kukueleza kuwa John Heche ndo Chacha Wangwe wa pili ambaye wana Tarime wanamwihitaji
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Kitine: Waliojitangaza urais CCM hakuna anayekidhi sifa wote ni wahuni tu!

    Mambo Mengi yanayo tokea hasa ya ubadhilifu hatumsikii huyu MZEE.inapofika nafasi ya Urais ndo ajitokeze kutushauri? Hawezi aminika huyu naye ni gamba kama yalivyo magamba menzake.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu huku Kinana kule - ni kama enzi za Zitto na akina Mbowe

    Hata wakitumia aina yeyote ile ya usafili watanzania wameichoka ccm.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kikwete haina jipya kwa watuhumiwa wa Escrow. Muhongo ziarani Mara kesho

    Alisha onja joto ya jiwe musoma mjini kwa kuzomewa hadi akaacha bakuri la uji.Naona anajaribu tena.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa chama changu: Hatari iliyoletwa na UKAWA

    Bado unapoteza muda wako kwa kuishauri ccm?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kujindaganya kusema CHADEMA ni chama cha ukombozi, nao ni wasakatonge tu...

    Kimya humsaidia MTU kutokujulikana kiasi cha ujinga alicho nacho.naamini kama kunakitu ulicho amua kuandika bila hata kushirikisha kiasi kidogo cha akili ulicho nacho nihiki.
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM yakimbilia Mahakamani kuzuia Marudio ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Hakuna kitu ambacho ccm inaogopa kama uchaguzi ambao inajua haitashinda.Chadema musoma mjini tuko tayari wakati wowote.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vicent Nyerere awajibishwe na Chama kwa uzembe huu

    Nyerere anaingiaje katika matokeo hayo?huwezi kubeza kazi za Mbunge Wa musoma za ujenzi Wa chama.maana mwaka 2009 Chadema walipata mitaa miwili Leo Chadema imepata mitaa 30.wakati huo Chadema musoma mjini ilimwomba aende vijijini ambapo kampeni hizo za vijijini hadi hivi sasa Chadema imepata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

    Aibu ni nikusafirisha meno ya tembo na kumsafilisha Twiga mzima.
Back
Top Bottom