Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
Kumpeleka heche bungeni ni kuwaongezea ukichaa chadema. Jamaa viroba vishamzidia
hii inajulikana kwani hana kzi ya kufanya, vijana wa chadema wanaichukulia siasa kama sehemu ya riziki yao, tufanye kazi zingine kama kilimo hana jipya ni njaa tu
Heche hawezi chochote na hana lolote mdogo wangu yule hajiwezi kabisa
Hata kufanya siasa ni kazi pia, serikali na nchi yako kwa ujumla vinaendeshwa na wanasiasa. Na hilo huwezi kupinga wala kubisha wala kukwepa! Utake au usitake wanasiasa wataendelea kuongoza nchi na kuwakilisha majimbo. Tena watalipwa kwa kodi zako.
Hongera lakini wewe usiye na njaa maana unafanya kazi JF..
Heche hawezi chochote na hana lolote mdogo wangu yule hajiwezi kabisa