Recent content by magai majigo

  1. M

    Natafuta pikipiki boxer namba C ya sh 1.3M

    Iwe namba c Iwe dodoma Iwe haijawah kufunguliwa injini Iwe na kadi Iwe haijachoka Mwenye nayo anicheki 0689636330
  2. M

    Muuzaji wa duka la dawa mwanza

    Nurse mwenye cheti cha addo Duka lipo mwanza usagara Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
  3. M

    Muuzaji wa duka la dawa mwanza

    Nurse mwenye cheti cha addo Duka lipo mwanza usagara Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
  4. M

    Muuzaji wa duka la dawa muhimu mwanza

    Anatafutwa muuzaji wa duka la dawa muhimu mwanza maeneo ya usagara kwa anaehitaji kazi 0689636330.
  5. M

    Naitaji chumba dodoma mjini au Maeneo jirani

    Hahahahahahaha hahahahaha
  6. M

    Naitaji chumba dodoma mjini au Maeneo jirani

    Vyumba viwili na sebule choo ndan na jiko kama ikiwezekana kwa laki moja. Isiwe mbali na mjini na pia gari iwe inafika kirahis 0658047048
  7. M

    Muuzaji wa duka la dawa muhimu

    Duka lipo mwanza usagara muuzaji awe Na chet cha addo. Namba ya Simu n 0658047048
  8. M

    Nurse wa kuuza duka la dawa anahitajika

    Awe muaminifu Awe pia mzoefu Awe anaishi wilaya ya temeke Mawasiliano. 0658 047 048
  9. M

    Natafuta mfanyakazi wa ndani

    Awe na umri chini ya miaka 23 Awe analala hapa hapa nyumbani Nyumba ipo dar na hakuna kazi nying zaid ya kupika na kufanya usafi Asiwe mapepe Anaehitaji tuwasiliane kwa namba 0658 047 048
  10. M

    Wazo la biashara kwa wanafunzi wa vyuo vya afya

    Nataka tufanye mm na ww iyo biashara npe contact zako zangu 0658047048 na watsap n 0769685873
  11. M

    Karibu chuo cha afya world changing college of health and allied science

    Ukikuta mtu anatoa dawa ivyo bas hajasomea, ndo maana tunahakikisha wanafunzi wetu tunawapa elimu ya kutosha ya theory na practical ili waweze kusaidia wananchi vizuri. Na pia tunawafundisha law and ethics hii itamfanya awe makini wakat wa kutoa huduma na kua mwepes kuomba msaada wa kiutalamu...
  12. M

    Karibu chuo cha afya world changing college of health and allied science

    Fee inalipwa kwa awamu nne, awamu mbili na awamu moja. Hapo ni wewe ipi utaweza kuafford Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Karibu chuo cha afya world changing college of health and allied science

    Kozi iyo ipo inatolewa gharama yake ni milion 2 tu kwa mwaka mzima. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Kazi kwa mtu wa secretary

    Asanteni jamani ameshapatikana. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Karibu chuo cha afya world changing college of health and allied science

    Kila chuo kina utaratibu wake kulingana na muda kiliojiwekea wa kuanza masomo, kumbuka kua unaomba direct chuon sio nacte. Pili jiulize kwenye chuo ambapo wanapokea intake au batch mbili ya mwezi wa 8 na mwezi wa 3 inakuaje? Jibu ni kwamba ni ratiba ya chuo binafsi kulingana na kilivojipanga...
Back
Top Bottom