Recent content by Magada

  1. Magada

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    wapotezee. hakuna maisha mengine, yaani hapo ndo unaishi na usiruhusu hasira na maumivu vitawale maisha yako. Raha jipe mwenyewe. wapotezee ila usiache kumheshimu mumeo. Usiwape attention kwa kila wanalofanya. wao hayo wanayofanya yanawapa raha, na wewe kila unapoamka fanya ratiba zako zote...
  2. Magada

  3. Magada

    JamiiForums Tanzania Nimepewa siri nashindwa kuitunza (roho inauma)

    yasiyokuhusu yasikumbue.
  4. Magada

    JamiiForums Tanzania Uligunduaje kama mwanaume/mwanamke wako anachepuka, na ulichukua hatua gani?

    Anna namlea Expected Value
  5. Magada

    JamiiForums Tanzania Uligunduaje kama mwanaume/mwanamke wako anachepuka, na ulichukua hatua gani?

    Sina kawaida ya kupekenyua simu ya baba watoto. Siku hiyo niliomba tu memorycard, nae bila hiyana akanipa aliyo itumia kama miezi miwili iliyopita. Kumbe kuna picha alitunza akasahau kufuta. Picha za katoto kachanga na mama yake. Sikupanic, nilikuwa namuamini saanaaa. Nilikaa kimya nikaanza...
  6. Magada

    JamiiForums Tanzania True men don't forget

    Namuombea sana. Najua anajikaza sababu ni mwanaume.
  7. Magada

    JamiiForums Tanzania True men don't forget

    Hata kiswahili kinatumika. Kikristo nimetumia zaman sana kimeanza kupotea. Japo mi ni ke nipo hapa kwa niaba ya mume wangu. Anapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Naumia sana ila naamini hili nalo litapita.
  8. Magada

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

    Nalea mtoto wa mume wangu, ni mdogo kuliko mwanangu. Simtesi wala simnyanyasi ila namlea kwa uangalifu sana. Najua akilia kidogo tu watu watasema namtesa. Hata wakikosea wote namchapa wangu tu kwa kisingizio kwamba yeye ni mkubwa. Wamepishana mwaka mmoja. Huwa najisikia vibaya sababu najua...
  9. Magada

    JamiiForums Tanzania Nampenda tatizo ni hili

    Mnunulie nguo nzuri ya heshima mwambie avae. Akivaa msifie. Ataanza kuzipenda nguo unazomsifia akivaa. Mbinu hiyo ikishindikana muache tu, umri unavyoenda atakuwa anabadilika mdogomdogo
  10. Magada

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Mbona na hao wasio na watoto nao hamuwaoi? Wanazeeka wakitafuta waume. Mnawaponda single mothers kila kukicha na wanaolewa kila kukicha. Tafuta unayemmudu usiyemmudu achana nae na usimjadili. Size yako ipo.
  11. Magada

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Wababa tubadilike, wanawake wetu wamekuwa wabinafsi sana

    Kwa hyo mmeligundua hilo mnasemaje sasa. Humu kuna wengine ni watoto wa kiume, wengine ni akina baba. Mada nyingi jukwaa hili ni kuwatukana wanawake na kuwasema vibaya. Na asilimia kubwa ya watoto wanaowatenga baba zao ni wakiume. Watoto wanaona unayoyafanya kwa mama yao, hata kama unawapa...
Back
Top Bottom