HIVI NDIVYO ADOLPH KIMBINDU KUMBURU ANAVYOWAMALIZA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA TANZANIA NA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA (MoD)
Niliwahi kusema siku za nyuma kwamba English sorry Engineer Kumburu hana uzalendo wowote na hii zaidi ya kutekeleza sera za kibwanyenye zinazowatukuza wafadhili...
DG WA Tanzania Coffee Board Adolph Kumburu nani kampa kibali cha kuharck simu na email za watu?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wadau naomba kuuliza hivi huyu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu ni nani aliyempa kibali cha kudukua (Hacking) Email za wafanyakazi pamoja na kurecord...
Kweli imetusikitisha sana hasa sisi wakulima wadogo huku wilani Mbinga.kUUMIA TUUMIE SISI SHAMBANI WENGINE WALE HELA YETU hii sio sawa.Kwa hili tunatayarisha mauzo yetu yote na tunajipanga kwenda kumwona Mh Raisi atusaidie kurudisha fedha yetu na tumeambiwa kuwa hata Account sale tulizo nazo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.