Recent content by Mafwiri

  1. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Magufuli awaaga wakazi wa mji mdogo Muganza - Chato - Geita

    Kishimbe wa Kishimbe Mbona unalalama mwenyewe Mkuu??
  2. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania John Heche Kugombea Ubunge Tarime Vijijini kupitia Chadema!!

    We unadhani Tarime ni Bagamoyo au Rufiji??
  3. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Nawasilisha: Nia na ridhaa ya kuongoza

    Mkuu Mpoki, Nimefarjika sana... Nakuombea
  4. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Mji wa Geita wasimama, Maelfu wampokea John Magufuli akiwa njiani kuelekea Chato

    MaCCM kwa kujifagilia...
  5. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Noel Olevaroya achukua fomu ya Ubunge CHADEMA Arusha

    Reporter wa ACT @ work
  6. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Kumbe Amina na Kikwete wametoka mbali

    Kwa mujibu wa kiongozi wako wa Baraza la Wazazi wa CCm Taifa ni kwamba Lowassa na Membe wanalingana umri... Sina hakika lakini kwa mantiki hiyo inawezekana hata JK anamzidi Lowasa umri, sasa katika kipidi ulichotaja nani alikuwa kijana kama huyo mwenyekiti wa wazazi alikuwa hadanganyi?
  7. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Kumbe Amina na Kikwete wametoka mbali

    Halafu MaCCM yalivyo na akili fupi sana yanamwona JK mjanja sana... Wakati Magufuli aliwekwa kama reserve ishu ikibumbuluka iwe ilivyokuwa... Lakini wote alioingia na majina yao mfukoni mwake ni misukule yake... Ila kwa kuwa MiCCM ndivyo ilivyo inamwona jamaa bonge la mjanja
  8. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania CUF kuachana na UKAWA na kuungana na ACT-Wazalendo?

    Sasa nakushauri utulie na ulete hiyo taarifa bila ushabiki...
  9. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

    Aisee si mchezo...
  10. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

    Magamba wanachochea kuni...
  11. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu Donge linawakaba kwa hii Picha!

    MaCCm ndivyo yalivyo...
  12. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Tunasubiri.... Tuko pamoja na UKAWA!!
  13. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mfungwa

    Mkuu Andrew Nyerere Mimi niko hapa Musoma kama vipi niruhusu nikutembelee... Nachukulia sentiments zako katika habari hiyo kama non- fiction...
  14. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Mchezo walioufanya CCM Dodoma, Afrika nzima wamekubali jamaa ni smart sana

    Stori nyingine bana... Halafu hii dhana ya system kila mara nayo ni propaganda...
  15. Mafwiri

    JamiiForums Tanzania Baada ya jina lake kukatwa, haya ndiyo yanayomsumbua Edward Lowasa mpaka anashindwa kula

    Hivi mnafahamu kuwa Lowasa pia ni binadamu...? Mbona kila siku mnamkejeli humu... Mpeni space wakuu..!!
Back
Top Bottom