Recent content by mafuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Kinondoni kufanya zoezi la anwani za makazi na postikadi

    Hapana mkuu hiyo me mwenyewe nimeipata Mahali Fulani tu Ila sio yangu[emoji2960]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Kinondoni kufanya zoezi la anwani za makazi na postikadi

    Wapendwa hii nimeipata sehemu Kuna yeyote aliyepokea ujumbe huu Tafadhali tutambuane [emoji1745]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    [emoji3064][emoji3064][emoji3064] wengine ndo message Tushatemwaaaa nini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    Nani huyo aisee[emoji3064]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    Wanathread wenzenu naulizia kinondoni majina yanatoka lini Usije Kuta tushaachwa hivyo kimya kimya[emoji2960][emoji2960][emoji2960] Mwenye info kamili atupie Hapa please Asanteeeeeee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

    Naulizia na kinondoni jamani Mbona kumepoa Bado??? Mwenye update yotote ya kinondoni jamani mbona kumepoaaa???
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    Hakika sio ya kuiacha hata ingekuwa M tu sio ya kuiacha unaweza fanya kitu Mzee Vipi una lolote lile mpaka Sasa kuhusiana na kino yetu mkuu???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kinondoni na anwani za makazi na postikadi Machi 2022

    Mwenye list ya majina ya waliochaguliwa Kwa ajili ya zoezi linaloenda kuanza jumanne Machi 1 Kwa wilaya ya KINONDONI ashee Hapa ili tujuane mapemaaaaa Karibuni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    JAMANI WALE WA KINONDONI TUPO KUNA JIPYA LOLOTE MPAKA SASA?? MAANA UBUNGO NA TEMEKE KUMESHANOGA TAYARI TUMEBAKIA SISI TU TUJUANE JAMANI[emoji847][emoji847][emoji847]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajira kukusanya taarifa za mfumo wa anwani Dodoma

    Dodoma oyeeeee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    Jamani Ina Maana hakuna mwenye Taarifa kuhusiana na kinondoni Maana jumatatu Leo ukute majina yashabandikwa kwenye ofisi za kata Anyone mwenye new news???[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    Mkuu majina yameshatoka Nini?? Maana kauli yako [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi manispaa ya Kinondoni ukusanyaji wa anwani za makazi na postikadi

    Habari wapendwa Naulizia kwa manispaa ya KINONDONI ambaye anajua tarehe ya majina ya waliochaguliwa kufanya zoezi la UKUSANYAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKADI ni lini?? Naulizia hivyo maana kwa manispaa ya ubungo majina yametoka Leo na wameshafanya usaili (interview) kwa njia ya mtandao Yani...
Back
Top Bottom