Wadau, salama?
Nakuja mbele zenu leo kuomba msaada wa mawazo juu ya mambo ya biashara. Mm sina uzoefu wa biashara, nimesomea IT, nimeajiriwa mwaka wa tano sasa, lakini nimekuja kugundua kipato changu kiko hali mbaya sababu ya mshahara finyu wa ajira, pesa nayopata ni ya kula na kodi tu ya...