Recent content by Mafie PM

  1. M

    Mch Gwajima atoa "comments" zake juu ya Baraza la Mawaziri

    Taratibu, kiongozi gani kajiharishia? chunga comments zako us I watching an is he viongozi na Mch Gwajima.. namheshimu Mtumishi wa Mungu anayejitambua na anayesema ukweli
  2. M

    Kati ya makampuni yaliyokwepa kodi mbona hatusikii yanayomilikiwa na Lowassa?

    Zitaje kwanza kampuni zake, kwani wewe umesikia kampuni gani ya Ridhiwan? akili nyepesi, hakuna kigogo wa serikali anayeweka makampuni yake wazi kwa majina yake.. anawatumia watu kama mimi na wewe, wanatumika watu kama Manji, Bakhresa, Rostam nk.
  3. M

    Gazeti la Mwanahalisi linatafuta cha kusema pindi baraza la Mawaziri litakapotangazwa

    mwanahalisi hata ukinipa la bure sitaki, unafki wao wa kuniaminisha Lowassa ni fisadi na tamthilia zao za akina Jason Bourne zilinifanya niamini ni gazeti makini, ila niliyoyashuhudia baadaye halinifai even kwa kulikalia kwenye vumbi.
  4. M

    Polisi wa Babati wachunguzwe

    Polisi wa Tochi Barabarani wanajificha nje ya eneo la 50 halafu unazuiwa mbele eneo ambalo huwezi kurudi kwa mtu wa tochi, unalazimishwa kulipa faini na hakuna jinsi ya kuprove hiyo speed... Huu ni ufisadi mwingine mbaya sana, nimelelemika maana ni mara kama ya nne sasa tukio hili likinitokea...
  5. M

    Mapendekezo ya kamati kwa Spika Job Ndugai

    Mnasemaje eti? Mungu awasamehe
  6. M

    Monaban, Siasa unazoeneza Arusha zitakutafuna mwenyewe kibiashara

    Mbona hawaoni upande wa Pili? walichokioanda wqtakivuna, ukipanda ujabila utavuna ukabila, ukipanda ukanda utavunabukanda.. wacha ngoma lielekeebkule kule lilikotoka maana hatavRais tulitaka wa Kaskazini kwanini na Mbunge wasitake wa kwao?
  7. M

    Waandishi wengine mnajidhalilisha

    Kwanza ni tusingewahi kamanda wewe ni mpumbavu si mpumbavu tu? Tafsiri nyingine ni ipi?
  8. M

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Ni kweli, serikali ikishaamua kujimaliza icheze na watumishi wa Mungu
  9. M

    Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe

    Deo hakuna wa kufanana naye, huyo Pindi atafutiwe ukuu wa kijiji
  10. M

    Makadirio ya mapato ya Askofu Gwajima

    Gwajima aachwe watafutwe wezi wa nchi hii, hii serikali inabore sana
  11. M

    Hivi ni Kweli kanisa la Gwajima ndo lenye waumini wengi Tanganyika?

    Mmeshajua ukweli, kanisa lake ndilo lenye wafuasi wengi wwingiao ibada kwa wakati mmoja, ana kama 70,000/. niambieni kanisa la Catholic au Lutheran liingizalo ibada moja watu 5000. ni nini hamjaelewa hapo?
  12. M

    Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

    Huyu ndiye Mtumishi wa Mungu makini mwenye misimamo, angekuww na mambo machafu angelifumba kinywa, ilabhuyu jamaa anajiaminibmaanabyuko safivkwenye mambo yake, viongozi wengi wenye shaka na mienendo yao huwa hawathubutu kuigusa serikali au kukemea uovu wa viongozi wa serikali
  13. M

    Majeshi ya Kenya yanawalinda Wasomali dhidi ya Al - Shabaab

    Anayewasifia alshabab ni mpuuzi tu asiyejielewa
Back
Top Bottom