Polisi wa Babati wachunguzwe

Mafie PM

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
1,317
207
Polisi wa Tochi Barabarani wanajificha nje ya eneo la 50 halafu unazuiwa mbele eneo ambalo huwezi kurudi kwa mtu wa tochi, unalazimishwa kulipa faini na hakuna jinsi ya kuprove hiyo speed... Huu ni ufisadi mwingine mbaya sana, nimelelemika maana ni mara kama ya nne sasa tukio hili likinitokea.

Hapa Kazi tu tupieni macho eneo hili.. Pia fomu haina risiti ya TRA...
 
Matrafiki wa babati ni kero,wamekubushu kwa rushwa
 
wapigeni picha hao

Kweli nitawarekodi maana kwenye daladala zinazoingia na kutoka babati wamekuwa, ila mbinu yao konda anajifanya anaweka jiwe nyuma ya tairi kumbe chini ya jiwe kuna hela,gari ikiondoka trafki anaenda kutoa jiwe
 
sio babati tu askari Wa usalama barabarani wanatia aibu na wanafanya kazi Kwa mazoea... hivi mmelisahau lile tukio la traffic wa Kabuku? Rais magufuli mulika kikosi hiki kisiwe na askari wakudumu na Ikiwezekana traffic wote wahamishiwe FFU halafu wateuliwe askari wengine na vigezo viwe Elimu na Nidhamu Kwa askari Wa muda mrefu.
 
Polisi wa Tochi Barabarani wanajificha nje ya eneo la 50 halafu unazuiwa mbele eneo ambalo huwezi kurudi kwa mtu wa tochi, unalazimishwa kulipa faini na hakuna jinsi ya kuprove hiyo speed... Huu ni ufisadi mwingine mbaya sana, nimelelemika maana ni mara kama ya nne sasa tukio hili likinitokea.

Hapa Kazi tu tupieni macho eneo hili.. Pia fomu haina risiti ya TRA...

unalipa au unatoa rushwa uachiwe? lkn ni kweli kuwa hufuati vibao vya speed?

niaminicho traffic officer hao ukihitaji kuona speed yako, wanafika fasta. kama wanachelewa ni kuwahamasisha kuwahi. ajali zilipungua, sasa zimerudi upya
 
Back
Top Bottom