Recent content by Maffada

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Unaweza ku-manage biashara zaidi ya 100+ kwa wakati mmoja mkuu kuna screenshot nimeona jamaa ana matawi 30+
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Ndio tena kabisa mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Amani ya Nchi Yetu: Ukweli na Uhalisia

    Tabu tupu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Amani ya Nchi Yetu: Ukweli na Uhalisia

    Soon
  5. M

    JamiiForums Tanzania Amani ya Nchi Yetu: Ukweli na Uhalisia

    hakika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Amani ya Nchi Yetu: Ukweli na Uhalisia

    Mara nyingi viongozi wetu huimba wimbo wa amani kana kwamba ni mali ya kila mmoja wetu. Lakini ukweli mchungu ni kwamba amani hiyo ipo kwao tu—sisi wananchi wa kawaida hatuioni wala kuifaidi. Ni sisi tunaotekwa. Ni sisi tunabambikiziwa kesi. Ni sisi tunadhurumiwa. Ni sisi tunaotukanwa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mastaa Nchini walaani kitendo cha polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA

    The storm is gonna end soon
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nakala gani zinahitajika kupata kitambulisho cha Taifa (NIDA)?

    Ok Ok tunajaribu hallo hallo puh
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kicheche, Steve Mweusi na Clam Vevo hizo video mnazo post FB ni nyie au account zenu zimehakiwa

    samahani mkuu uliemfollow ni mimi sio hao nitajitahidi kupungaza ku-post picha za uchi nilijua unazipenda maana ulikuwa una like na ku-comment kila post na kuna moja uliomba nikutumie akiwa hajavaa chochote
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Mimi nmetumia nyingi zingine gharama yake ya uendeshaji ipo juu ila kuna mwamba akanisanua
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Wewe hutumii daftari kupiga hesabu zako?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    Hutumii daftari?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

    karibu mkuu
Back
Top Bottom