Kama hizo taasisi nyingine za kidini hazijafanya jitihada/hazijaona umuhimu wa kufanya such agreement tatizo liko kwa nani!! Kanisa liliona umuhimu wa kufanya hivyo kwa kutambua umuhimu wa kuwa na mahusiano ya karibu na serikali. Sasa kama hao wengine wahawakuweza kuona mbali basi wasilazimishe...
Kwa tamko hilo ina maana hali itakapokuwa shwari ruksa kendelea na mihadhara ya aina hiyo ya kukashifu imani za watu? Mimi niliratajia amri hiyo iwe kali yaani kupiga marufuku aina ya mihadhara hiyo milele!!
Title na content mbali mbali. Askofu Agustino Shao na Martin Shao ni watu wawili tofauti. Kuwa makini unapoleta mada usikurupuke. Sasa tuambie alyetishiwa ni Martin Shao au Augustino Shao?
Kwa msaada tu angalie kwenye ile post aliyokuwa anafafanua uhusiano wake na Waziri Wassira alitoa namba yake ya simu. Usiwe mvivu uwe na kumbukumbu kwa post zilizokwenda shule usizisome kama unasoma hadithi za Pwagu na Pwaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.