Recent content by Mafaobongo

  1. M

    Walioingiza mabomu Arusha wakamatwa!

    Hongereni kwa kuwakamata hao watu ila bado mapema, tunataka haki itendeke kwa wafiwa na waliojeruhiwa isiwe nguvu ya soda
  2. M

    CCM: Mahakama ya Kadhi Ruksa kwenye katiba mpya

    Kwani Waislamu wakianzisha mahakama zao na kuziendesha wenyewe wanapungukiwa nini, mbona wakristu wana mahakama zao na wanaziendesha wenyewe na hawapigi kelele. Je na wao waanze kudai iwekwe kwenye katiba? na wapagani nao? Tutakuwa na mahakama ngapi? Sasa sheria ya ugaidi ikifutwa halafu...
  3. M

    Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

    Hii mbaya sana, sio utamaduni wa sisi Watanzania. Dhambi hii ya mauaji haya itawarudia na hawatakaa watulie! Nawaombea wauaji wajute kosa lao na watubu, ama sivyo laana ya Mungu atatua hapo Igunga na itakuwa inanuka damu.
  4. M

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Mkuu mi ni shabiki wa cdm damu lakini mbona hayo matokeo ya awali ni ccm ndio wameshinda tena kwa wingi wa kura, habu jaribu kujumlisha uone.
Back
Top Bottom