Recent content by maestro90

  1. maestro90

    JamiiForums Tanzania Swali: Swali kwanini Ujerumani wameishauri Tanzania harakaharaka itumie gesi kufua umeme?

    Ujerumani wanaifadhili Tanzania kifedha kwenye maswala ya uhifadhi na maendeleo ya viumbe hai kwenye mbuga na hifadhi kadhaa nchini. Nadhani ni kupitia lile shirika lao la frankfut (WWF) kama sijakosea! wanatoa kiasi kizuri tu cha fedha. sasa hiyo ndiyo sababu wanapinga uharibifu wa ecosystem...
  2. maestro90

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania haraka sana

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameandika waraka mzito akimponda Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye kwa sasa yupo ziarani barani Ulaya baada ya kupata nafuu kufuatia shambulizi la kupigwa risasi alilofanyiwa Septemba 7, 2017 nyumbani kwake Dodoma. Makonda ameandika...
  3. maestro90

    JamiiForums Tanzania Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Hapana cariha. siyo hivyo kwa wanawake wote. Nimeshawahi kuwaona baadhi wanapenda sana kuangaliwa makalio yao yanavyotikisika tena wengine huongeza manjonjo.
  4. maestro90

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

    😁😁😁
  5. maestro90

    JamiiForums Tanzania Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    honestly huyo mbinafsi achana naye. maana tabia zake umezifahamu kiundani. ila hao married men kama kweli wamekukonga nyonyo namna hiyo chagua mmoja. japo wake zao hawatapenda kabisa kusikia wana wanawake nje hata ingekuwa wewe ingekjtatiza but thats the way. it will be safe for you maana hujui...
  6. maestro90

    JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kula mgongo

    😁😁😁
Back
Top Bottom