Recent content by Maelau

  1. M

    Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

    Kijana mbona una panic? Ugetupatia kwanza story ya Gambo (DC enzi hizo) na Ntibenda kijiko (RC enzi hizo) kabla ya povu hili.
  2. M

    Huyu Boyfriend wa Gigy Money hajui kiswahili au ni mikogo tu kuendekeza uzungu?

    Ndugu yangu , yule ni Mnigeria. Sasa yeye na kiswahili wapi na wapi.
  3. M

    Vijana wenzangu, nani aliwaambia kunyonyana ndio mapenzi?

    Ninyi ndio waeneza vipindupindu, amoeba na homa za matumbo.
  4. M

    House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Acha kutania watu. Nimekuja faster nikidhani nitaona nyumba kweli kumbe masihara. Ingia youtube utype dalalimwanamke uone nyumba za milioni 90. Ni nyumba kali sana na za kisasa na si masihara unayotuletea hapa. Hivi wewe unaijua miioni 90 kweli? Kwa ambaye fedha zake zinamuwasha atakupa mil 45...
  5. M

    Matibabu ya hiatal hernia na acid reflux

    Dawa ya Acid reflux tafuta "Nexium control" tablets.
  6. M

    Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

    Vya wahenga vizuri mkuu.Tafuta hicho kitabu ukisome ujue wahenga tulivyofaidi. Nikiwa mtoto wa level ya darasa la nne, kilinipa uelewa wa mambo mengi sana hadi walimu walinishangaa kwa maswali niliyokuwa nawauliza.
  7. M

    Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

    Aisee, umenikumbusha mbali. Umekisoma kitabu cha Alice ? Basi mimi nimekisoma nikiwa darasa la nne mwaka 1985, swahili version. Kinavutia balaa.
  8. M

    Nimeanza kuogea Omo baada ya harufu mbaya kwenye korodani kukataa kutoka mwilini mwangu

    Sikiliza ndugu. Nenda dukani, nunua deodorants za kupulizia au za kurole mfano; nivea for men, dove men care, men mitchup na nyinginezo. Kila ukimaliza kuoga asubuhi weka sehemu husika. Hii si tiba ila inakulinda dhidi ya harufu hiyo kwa masaa 24 mpaka 48. Fanya hivyo mkuu utanipa mrejesho. Ila...
  9. M

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Halafu mimi huwa sijui kukasirika. Tungeendeleza hii ligi mpaka asubuhi. Lakini nashukuru umeelewa.
  10. M

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Haya bwana nadhani umeng'amua ukweli ndio maana umecheka. Haya maisha ni mafupi haipendezi kuwapa watu wengine stress/msongo wa mawazo. Kila mtu ana haki ya kuvuta hewa tuliyopewa na mwenyezi Mungu kwa amani.
  11. M

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Mimi leo niko na wewe, mpaka uache tabia za kufuatilia maisha ya watu.
  12. M

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Jirekebishe, huwezi kusema watoto wa mwenzio eti ni majambazi halafu uchekewe.
  13. M

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Saga chupa unywe kama unamchukia. She is there to stay.
  14. M

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Ukiona maisha yake binafsi yanakuudhi, ni rahisi tu. Saga chupa, koroga kwny maji kisha unywe. Chuki, wivu na husda vitakuishia. Unawezaje kuwaita watoto wa mwenzio eti majambazi? Eboo !!
Back
Top Bottom