Recent content by Madwari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kila ninayempenda sana amenizidi umri

    Ukiona hivyo ujue kuwa you are very focused in your life so automatically unakuwa na wasichana au wanawake wasioumiza kichwa wanawake wengi wanaodate younger men huwa hawaumizi kichwa kiongozi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni ya Kutafiti na kuchimba Madini kwenye eneo langu

    Huu ni mtego sio bure
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ku Unlock i4n yenye At & t network lock

    Kijana usijali watakuja kuna mahali humu humu nilipata mtu anafanya hio kazi kwa 50k
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata printer kwa Tsh 90,000/=?

    I think unaweza hapo mitaa ya Kariakoo lakini kama ungeongeza price kidogo kama 100-150k ungepata nzuri zaidi ubaya wa hizi mashine hizi,ukipata ya bei kubwa ndo inakuwa na maintanance cost ndogo ukilinganisha na hizi za bei ndogo mkuu.
Back
Top Bottom