Recent content by Madumba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimechukua likizo sitaki mke wangu ajue

    Wiki nzima anafanya nini ukweni, siku tatu zinatosha Kabisa kuwasalimia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu yatanda kwa walimu wa sanaa katika shule za sekondari hapa nchini juu ya kuhamishiwa shule za msingi (IKAMA)

    Kwenye saikolojia waache uongo Kwani ni moja unasoma makuzi ya mtoto kuanzia mimba hadi kukua akishazaliwa nadhani kinachowasumbua ni Ile kupelekwa Msingi na si vinginevyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Msaga Sumu ajiondoa team Lowassa CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF Kinondoni

    Kama anakubalika si angechukua fomu akagombee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Msaga Sumu ajiondoa team Lowassa CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF Kinondoni

    Kwa mchango gani alionao kwa jamii
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wazazi hawataki mwanamke abadili dini, wananiita 'kafiri'

    Sio dhaifu unauza haki yako kama kichwa cha familia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wazazi hawataki mwanamke abadili dini, wananiita 'kafiri'

    Fanya maamuzi magumu kama mwanaume maana Ww ni kichwa cha familia acha kuwa na ndoa yenye matabaka watoto wako unawapa funzo gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania TABOO: Utaweza kumruhusu mke/mume wako kufanya mapenzi na mtu mwingine mbele yako?

    Na ume comment kwa bahati mbaya pia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

    Mkuu umenena me naona kituo cha polisi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    We msemaji wa Serikali acha wahusika ndo wawajuze wa TZ juu ya kumpigia kura
  10. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Yeye ni Tajiri katika ulimwengu wa roho na si mwili
  11. M

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Hana jipya ashachuja anatafuta kik asikike
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tabia za wake za watu vyuoni kwakweli zinanikatisha tamaa badilikeni jamani

    Kabisa kiongozi lazima wawepo ili wengine wajifunze kupitia kwao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimechupuka mara ya kwanza, nimenogewa

    Angalia usije potelea huko huko
Back
Top Bottom