Recent content by MaduhuJ

  1. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi

    Shukrani mkuu na karibu sana ofisini. 🙏🏾
  2. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Ni miti ya kupandwa (Pine/Msonobari) na zinatoka Iringa. Ni mbao zinazotumika kwa ujenzi (kenchi) na fenicha (kochi na vitanda). Urefu ni ft 12 ingawa hata ukitaka za ft 18 naweza kukuagizia kwa makubaliano.
  3. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi

    Shukrani mkuu 🙏🏾
  4. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Asante na karibu sana. 🙏🏾
  5. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    😂😂😂 boss umevurugwa nini. Mbona hela ya nauli tu ya mzigo tayari unaweza kununua mzigo mzima. 😂
  6. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Ndio mkuu. hapo hapo kwenye uwanja wa sekondari. Karibu sana
  7. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  8. MaduhuJ

    DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

    Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana! 2x2 - 2,300 2x3 - 3,300 2x4 - 4,300 2x6 - 6,500 1x4 - 2,300 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
  9. MaduhuJ

  10. MaduhuJ

    Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

    Hizi takwimu inawezakana kabisa zikawa sawa ila umeshajiuliza maswali yafuatayo; 1. Haya matamko yalikuwa yanazunguzia nini? Kulikuwa na issues gani hadi wakatoa hayo matamko? 2. Je matamko yao yalikuwa yanalenga kumuattack raisi au kuaddress issues zinazoendelea kwenye nchi/jamii? 3. Umejaribu...
  11. MaduhuJ

    Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Uzi mzuri sana huu. Hongera kwa aliyeuanzisha. 👏🏾 Kama kuna mtu anahitaji kujua kuhusu gharama za mbao na Misumari au anahitaji kununua vitu hivyo, anaweza kuniuliza nikampatia. Nauza mbao kwa bei nafuu kabisa na Ofisi yangu ipo Jamhuri, Dodoma. Mawasiliano ni 068 5249910(Ofisi) au 0746311251...
  12. MaduhuJ

    Nipo Dodoma, nauza mbao kwa bei nafuu

    Wadau wa Dodoma nimeshusha mzigo mwingine wa mbao (12Ft) kwa bei ya punguzo. Ofisi ipo pale shule ya sekondari ya Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,400 2x4 - 4,400 2x6 - 6,500 1x4 - 2,500 1x6 - 4,300 1x8 - 7,300 1x10 - 13,000 Mafundi ujenzi, fanicha...
  13. MaduhuJ

    INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

Back
Top Bottom