Recent content by Maduhu Magulu

  1. M

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Kwahiyo mitihani ya Chuoni iliyowapa vyeti haina maana? Basi kama ni hivyo, serikali watunge wao mitihani ya chuo ili wanaosupp na kukeri wadisko kwa mitihani vyuoni. Sidhani kama umejiuliza kuhusu mwalimu aliyemalixa chuo 2015 leo miaka 9 yuko mtaani anapambana na maisha kuendesha familia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Kama walimu waliokufundisha ni wabovu, unamaanishahata wewe ni mbuvuna unachotueleza hapa ni kibovu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Vipi Dell na beep 5?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Yangu pia ni Dell, inapiga alarm tano kwa sequence ya sekunde! Sijui shida nini wadau?
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tulipokuwa tukiwacheka watoto wa mitaani, hatukujua kuwa tutakuja kuwa wasomi wa mitaani

    Mtaa ni mama wa Kila kizazi, kipindi ndiyo mwamzi! Asante sana mwl. Makungu
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Siku moja nitamwambia Rais...

    Falsafa yenye macho
Back
Top Bottom