Humu ndani kuna wa2 wabishi baada yakujadili mambo yamaana. Wanaleta ubishi wakijinga. Cuf toka jana wanahojiwa na media wanasema kabisa kwamba Leo watatoa tamko. Huvi chadema chadema hawakuyajua haya kama yatatoke kwa hawa cuf. Wanazingua cc wananchi. Baada 2jadili mambo yamkuhusu hawa...
Human inshu mpaka mda. Lipumba hayupo wala hakuna mwakilishi wa cuf. Pia leo hawataji jina lamgombea ila wanasema watataja chama kitakachocmamisha mgombea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.