"Nahitimisha kwa kusema kuwa yawezekana kabisa tukianza kufuatilia babu wa babu wa babu wa John Pombe yawezekana ametokea hukohuko......!!!"
Nadhani ungesema hivi, tukianza kufuatilia babu wa babu wa babu wa Paul Kagame yawezekana ametokea kanda ya ziwa.
Kuwa na serikali tatu nadhani tunajaribu kubembeleza2 Muungano usivunjike lakin ki-uhalisia umesha vunjika, Hii selikali ya tatu kazi yake nn? ikiwa haitakuwa na uwakilishi wowote kimataifa like UN coz Tanganyika na Zanzibar ndizo zitakazo wakilkisha UN na km serikali ya muungano itawakilisha UN...
Tatzo ni kukopa au tatzo n kulipa? mbna selikal ye2 imekopa more thn 20 tillions au imelipwa? na walipokopa walitujuza km wanaenda kukopa? mbna 2mekuja kufaham baada ya kuwa walishakopa au nyie mliambiwa kwamba 2naenda kukopa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.