Recent content by madmankache

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuvuka million kama Akiba ni changamoto sana

    punguza matumiz yasiyo ya muhimu..acha kubet punguza idadi ya wanawake(naamini we ni me) punguza mitoko ya ghafla,jifunze kusema NO Sometimes ndugu na marafiki wanafelisha..panga bajeti ya vitu vyote vya muhimu kwa mwezi na hakikisha unaisimamia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuvuka million kama Akiba ni changamoto sana

    matumiz ya kijinga ni mengi sana ndo mana unakuta watu wanaokunywa pombe na wasiokunywa pombe maisha yao yapo sawa au anaekunywa ana maendeleo zaidi..ndugu na marafiki mizinga mingi na wakikopa hawalipi kupenda kuvaa na madem sana(kuonga) na outing za mara kwa mara,kubeti,kula vizuri hasa kwenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    kuwekwa ndani ni mfaida hata kwake mtuhumiwa mana video imeshasambaa sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuifungulia mashtaka hospitali kwa kusababisha kifo cha mtoto

    ahaa okee,nimekuelewa mkuu..hapo tunasema siku yake ilifika tu hakukuwa na jinsi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuifungulia mashtaka hospitali kwa kusababisha kifo cha mtoto

    alikuwa anajua kuwa hyo dawa ingemdhuru..lakini alikuwa hawezi kuongea alionesha kukataa lakini hakuna mtu aliyeelewa..kama wataalam wa afya ilibidi wawe na tahadhari juu ya wagonjwa ambao dawa flani huwadhuru
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuifungulia mashtaka hospitali kwa kusababisha kifo cha mtoto

    sina uhakika hyo chemical inaitwaje ambayo ni mojawapo ktk mchanganyiko mzima wa chemical zote za hyo drip..point yangu ni kuwa marehem alikufa kutokana na uzembe..mambo ya chemical inaitwaje siwez jua mana sijasomea na nimesahau...kuna watu wengi tu utasikia anachagua dawa kwa sababu nyingine...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuifungulia mashtaka hospitali kwa kusababisha kifo cha mtoto

    Tanzania baadhi ya madakatari na manesi kuhudumia wagonjwa kiufasaha ni favour tu labda anakufaham au mpaka umpe rushwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuifungulia mashtaka hospitali kwa kusababisha kifo cha mtoto

    kuna mamdogo wangu mmoja alipelekwa hospital akiwa na ugonjwa mdogo tu lakini alifariki kwa sbabu aliwekewa drip yenye chemical ambayo kwa baadh ya watu huwadhuru(sijui inaitwa cafein..sina uhakika ila baadhi ya watu huwa inawadhuru hata baadh ya vidonge hawatumii kwa sbabu vina hyo chemical)...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwateka mbwa wakali kwa papuchi

    ahaha,,mazoea ya lugha za mitaani nayo....ila ukweni lazma niwe makini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Unajisikiaje pale unapoona watu uliokuwa nao utotoni wamekuacha mbali kimaisha?

    mimi naamini ipo siku nitafanikiwa kutokana na vile ninavyo-define neno mafanikio lakini sio kumshinda fulani na fulani ktk utajiri...kwangu mimi mafanikio ni kuwa na familia iliyo na furaha..nikiweza kumuda mahitaj ya familia yangu yote bila hofu yoyote..na furaha ikatawala basi hapo mimi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    hospitali nyingi za serikali huduma zake ni mbovu,,baadhi ya manesi na madaktari(hasa wa kike) huwa ni rahisi sana kuzenguana nao sijui wanakuwaga na matatizo gani? sijui hawalipwi mshahara? sijui wanaona kazi wanazofanya ni ngumu sana?,sasa kwann walisomea? au ndo njaa za ukosefu wa ajira...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwateka mbwa wakali kwa papuchi

    kweli kabisa,ni kumdharau kama humuoni hv..akisogea ndo itabid uchek alternative.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

    wadangaji waliojitahid kuimba nyimbo kadhaa zikavutia ni kina gigy money na amber lulu,ila hamisa kuimba bado aisee.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwateka mbwa wakali kwa papuchi

    kabisa!! mbwa ukishampa kisogo na ukimkimbia umempa confidence,hasira na chance ya kukuuma..ishu ni kurusha mateke..lazima arudi nyuma.. okota au vunja fimbo kama ipo karibu au okota mawe,wengi hata ukichota mchanga wanaogopa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwateka mbwa wakali kwa papuchi

    haha namaanisha ukijikaza na wewe ukimtishia kama unamfata kumpigia(usikimbie)
Back
Top Bottom