Recent content by Madindula

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kujitolea ni Utumwa uliochangamka halafu ukapakwa rangi na Mabepari

    Swala ambalo sitakuja kujaribu nibkujitolea kwenye ofisi ya mtu. Siwezi kujitoa sadaka nimetumia gharama nyingi mno kwenye masomo yangu alafu leo nikafanyie mtu kazi bure BIG NO!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yanayoulizwa kwenye post za IT

    Chukua nondo wengine tupo tunapitia..[emoji16]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Sasa jamaa unaona kabisa apo vyeti vyako havipo certified umeandika barua na bado haujasign na wanakutelekeza kabisa na problem yako uliyokuwa nayo sasa huelewi nini..??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili MDA's na LGA's yametoka

    Kuna category ya VERIFICATION CERTIFICATE kwenye ajira portal hivi pale ni vyeti vya namna gani vinakuwa attached..??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Sasa jamaa si wanaangalia nafasi ipi inahitaji watu kwa wakati huo mbona vitu vipo clear sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Unafanya online mzee kwa portal yao hao pccb
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafungua mgahawa

    All the best
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza duka la vifaa vya kompyuta

    Ili upate urahisi wa kumla sasa demu na issue za troubleshooting na maintenance upo serious kwel?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukienda katika usaili wa Utumishi hakikisha, una kitambulisho chochote, nakala au namba ya NIDA hazifanyizi kazi

    Upo sahihi sana kuliko mtoa mada. Barikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

    Kuhusu mujibu kwa kweli am not so sure ila coz wamesema wanataka wenye vyet vya jkt na kile cheti cha mujibu pia nacho ni cha jkt me naona unaweza ukajaribu kwa iko cheti u never know maana hata wenyew ukisoma tangazo lao vizuri wamegeneralize tuu hawajaspecify kama ni mujibu au volunteer Sent...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

    Amepita nani bhna tusianze kudanganyana apa ushaambiwa cheti cha jkt ni lazima uwe nacho alaf mtu ashasema hana unamwambia aapply acheni matumiz mabaya ya muda unless kama una mbuyu utakao kubeba sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile iliyo ndani au nje ya field yangu

    Hongera sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile iliyo ndani au nje ya field yangu

    Kuna watu mna kauli za ovyo sana kama umeshindwa kumsaidia haina haja ya kutoa maneno yote haya, dada wa watu kajielezea vizuri bila tatizo lolote sasa mtu from no where unakuja na kauli za hivi NONSENSE
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 3, biashara ipi itafaa?

    Noma sana kuna watu wamewehuka..[emoji23][emoji23]
  15. M

    JamiiForums Tanzania Canada yahitaji zaidi watu (soma)

    Daah hongera kaka me hapa naomba Mungu tuu mambo yangu yakienda sawa nataka nijilipue tuu nisepe zangu
Back
Top Bottom