Recent content by MADIBA MANDELA

  1. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinaniuma kama watu kuendelea kuamini kuwa kuna uchawi hapa ulimwenguni

    Je Biblia ilimaanisha nini inaposema mwanamke mchawi hapaswi kuishi
  2. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ushahidi kuwa HPV vaccine zinaleta ugumba sterility Tanzania?

    MSAMEHE BURE ni moja ya wanaoishi kwa makisio
  3. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Mnachofanya Redio Free sio sawa kabisa

    Nilikua nasikiliza DW kupitia radio free leo jioni wakati watangazaji wakisoma habari za corona nchini Tanzania operator akaondoa ile habari akaweka matangazo nilikwazika sana ukizingatia kipindi cha uchaguzi uhuni kama huu ulishafanyika tena. Sidhani kama kwa nyakati kama hizi mnasaidia au...
  4. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Unaacha kujijenga zaidi, kutathmini ulikokosea na kukiinua zaidi Chama chako unakimbilia kumlaumu Rais Magufuli

    We mwenyewe una uhakika wa kuishi mpaka lini
  5. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Abdullah Ally Hassan Mwinyi akila kiapo Bungeni Dodoma

    Acha aandaliwe kuwa raisi wa Zanzibar 2030 mkuu.
  6. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Wadau ukienda choo cha ugenini kabla hujajisaidia hakikisha kama kuna maji ndio uchuchumae

    Dah kama stori Ni ya kweli pole sana mkuu
  7. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

    Huku mawakala wamefukuzwa wote wa ccm chadema na vyama vingine sijajua Wana maana gani
  8. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Lissu atashinda kwa kishindo?

    Hivi itawashwa lini?
  9. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Kichomi ni nini? Husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?

    Pia akacheki Peritonitis ni dalili pia hizo
  10. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

    Mungu tunaemwabudu atatusimamia na atatupa kiongozi tuliemchagua sio viongozi wanaotokana na miungu kwa damu ya Yesu Jua litasimama.HAKI IKITENDEKA MUNGU ATASIMAMA NA TAIFA
  11. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

    Instagram angalau kidogo
  12. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Vyombo vikubwa vya Habari kwa yanayotokea Zanzibar

    Nilikua nasikiliza DW kupitia redio free kila mtangazaji Sudi Mnete alipokua anatoa taarifa ya hayo mauwaji operators waliopo studio za rfa wanaweka mziki wanakatiza matangazo nikajikuta nacheka sana
  13. MADIBA MANDELA

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    TAL anajiamini sana katika sheria sasa NEC kama ina wansheria wa kimaandazi maandazi atawasumbua sana
Back
Top Bottom