True..nimechelewa pia ila hajajua maisha ya kibongo yalivyo..hamna wa kujitoa mihanga wala ufahamu apa bongo land..tumbo na family ndo priority one..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu alitupeleka mahakamani kisa deni la nyuma kabla ya jpm na watz waka comment dawa ya deni kulipa..kwann tumaowadai wasilipe?sheria ya kodi ipo tangu enzi za kale..kama hukulipa its on you not the government..
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe chato,ambayo ni geita au mwanza au dar au popote ni sawa tu..cha msingi mapato yafanye kazi kwa nchi nzima..wengine hatujari materials zipo wapi tunajari actions/matokeo..plus iyo itasaidia kanda za pendezoni kama vile kagera mwanza kigoma shinyanga..katika ukuaji uchumi pia maana biashara...
Miundombinu ni priority namba moja kwa ajili ha maendeleo ya nchi..ndo maana kila infrastructure ina mirafi yake binafsi..huwezi kuta mradi mmoja hapana miradi ipo tofauti ili kukuza miundombinu na maendelel ya taifa na watu binafsi..tusiwe wapumbavu mda mwingine kusema "maji maji" wakati miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.