Recent content by Madege

  1. Madege

    Wazo la biashara ya internet uswahilini

    Hapana ila nahitaji kuifanya
  2. Madege

    Wazo la biashara ya internet uswahilini

    Ngoja nikutafute unipe shule vema
  3. Madege

    Wazo la biashara ya internet uswahilini

    Ungeelezea kidogo tupate mwanga sasa umepita na ukali TU shwaaa
  4. Madege

    Electronicsdarasa:Ubunifu wa Inveter kwa kutumia IC ya SG3524 (Advanced learner's)

    Asante nimefuatilia vizuri Sana maelezo yako. Shida inakuja hapa kwenye power factor V = ni voltage itakayozalishwa na inverter halfu kwenye kupiga zhesabu Sasa umepigia volt 12. Swali voltage inayozalishwa na inverter ni 12? Naamini ni 220vnakama ni 220 Basi hesabu itavurugika hapo. Weka bayana
  5. Madege

    Kwa waliobobea mambo ya solar

    Hii ni system ya cucalculate?
  6. Madege

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Jamaaa kasoma output watt! Napenda huyo anayemiliki hivyo vitu aje asome huu Uzi aone jinsi alivyodanganywa
  7. Madege

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Uyu jamaaa kiboko
  8. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Safi sanaaa asante pia yaan sekunde tu hela yangu nimeiona big up
  9. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Elekeza hapa basi ili nami ninufaike
  10. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wamenigomea wnanambia mambo ya bonus sijakamilisha wapuuz kweli hawa
  11. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hela unayodeposit wanataka ubetie mara ngapi ndo utoe maana maelezo yao siwaelewi kabisa
  12. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uliwithdraw au umedeposit
  13. Madege

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau wa 1x bet kuna ambaye ameshafanikiwa kuwithdraw?
Back
Top Bottom