Recent content by made

  1. made

    Viongozi wa Yanga SC tuambieni mashabiki ukweli kuhusu Khalid Aucho na Golikipa Diara

    Wachezaji waliokuwa timu za Taifa walipewa muda wa ziada ya kupumzika....wiki kesho timu itakuwa imekamilika......hao makolo Kuna zaidi ya wachezaji wanne na makocha wao hawapo Uturuki
  2. made

    Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

    Akili za makolo hizi.....kwani jezi zinacheza mpira?elewa kocha ndio mifumo ya timu...
  3. made

    Viongozi wa Simba tulieni, mnakurupuka sana

    Makolo wanahaha tu maana Yanga inawapelekea moto Kila Mahalia....na ndio maana wanaogopa kuanzia Kila jambo Ili waone Yanga walivyofanya
  4. made

    Nawezaje kujifunza lugha ya kiarabu?

    Sheikh asijue kiarabu labda mganga huyo..sema wee umemtafuta mtu tu kwa kuwa ni muislamu.....Sheikh mwenye elimu ya dini hakuna asiyejua kiarabu.....acha uongo.
  5. made

    Yanga waweka kambi Asec Mimosas na sasa ni Sankara Karamoko

    Wakati wanachukuwa wachezaji kutoa As Vita mlisema hivi hivi....kilichotokea nadhani mnaomba Mayele aondoke.....
  6. made

    WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

    Upuuzi mtupu.....hakuna kifo bila sababu....usipokufa kwa Kansa,utakifa malaria presha nk......acheni watu wafurahie maisha......
  7. made

    Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Hizo changamoto hazijawahi kulisha tangu tupate uhuru,acha kisingizia awamu hii
  8. made

    Bado Yanga wana kikosi kizuri zaidi ya Simba

    Yanga hawakuitaka Ile mechi...walikuwa wanajiandaa na mechi za Caf.....na walikuwa wanauona ubingwa wa ligi ya NBC,Simba ilikuwa pungufu point 8.....wachezaji walikuwa wanawaza nusu fainali ilikuwa.
  9. made

    [UZUSHI] DP World Kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

    Waje haraka sana.....tumechelewa
  10. made

    Kwanini nchi nyingi za Kiafrika hukwepa wawekezaji wa kizungu?

    Wazungu wana masharti mengi na magumu...mwishowe unaletewa ma CEO mashoga na ukiwagomea upuuzi wao wanakuwekea vikwazo na hasa hawa EU lao moja....pia gharama zao za uendeshaji zinakuwa juu sana....
  11. made

    Hedaru: Basi kampuni la Kilimanjaro lagongana na gari ndogo

    Kuna mambo mengi yanayosababisha ajali...sio mwendo kasi tu kama wengi wanavyodhani.....
  12. made

    Waziri Mkenda afafanua utaratibu wa ufanyaji mitihani kwa walimu, asema kama ilivyo kwa wanasheria

    Walimu bana anaona raha kuwapa watoto mitihani kumbe na nyie mnaogopa mitihani.....kama mpo fit mnaogopa nini?au mnaendaga kukua huko vyuoni kwenu......fanyeni paper kama wahasibu na kada nyingine wanavyofanya.
  13. made

    Wasomi Wakubwa na Wanasheria Wameupinga Mkataba wa DP world, Serikali rudini upya

    Hapo mwisho ndio umeharibu.....kwan ungeongea hoja yake bila kutaja ukanda ungepungukiwa?
  14. made

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Sasa usiombe ianguke halafu iripuke hapo ndo utajua hujui ukiwa chini ya siti
Back
Top Bottom