Watumie lugha nzuri,siyo ya vitisho! Kwa hile lugha waliyotumia inaonyesha wazi kuwa hata wakipewa hizo ajira hawakawii kuasi kwa kushindikiza malipo manono
Hizo cd za lukuvi wasihishie kuzigawa znz tu,wazigawe pia na Arusha,kagera na kwengineko!! Ili na cc ndugu zetu wa huko waone tutakavyonyanyasika!! Wasiwe wanafiki kugawa upande mmoja!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.