Recent content by Madaraka

  1. Madaraka

    Printer ipi nzuri kusafishia picha?

    Ahsante mkuu, itakuwa bei gani kwa sasa?
  2. Madaraka

    Printer ipi nzuri kusafishia picha?

    Msaada wadau, Ni printer ipi nzuri kwa........... Printing Kusafishia picha Kutoa copy 100 kwa siku
  3. Madaraka

    Natafuta ufadhili wa masomo

    umepangiwa chuo gani? ada sh? na kama mtu anataka kukushauri au kukupa wazo lolote kuhusu masomo yako, atakupataje?
  4. Madaraka

    Natafuta mume aliye serious

    ww kwa hayo masharti utakuwa unatandikwa kila kukicha maana mwenyee haupo serious, utawakataje wa primary, unataka mume kwel ww!!
  5. Madaraka

    Natafuta Kazi

    Nipo Morogoro Kwa Sasa. Kama kuna habari njema nitumie hata ujumbe mfupi kwenye namba hiyo hapo juu, Ahsante.
  6. Madaraka

    Natafuta Kazi

    empty
Back
Top Bottom