Recent content by MadamG

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kisheria

    Nilikuwa na shaidi ila mtendaji na Mwenyekiti hawajaingizwa kwenye kesi nilimuliza mpelelezi wa kesi Yangu police anasema anawatumia kama mashaidi wa upande watuhumiwa kwakuwa waliandika majina sio yao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kisheria

    Asante kwa kunitia moyo ila wapo wanaoniambia kama kesi inasimamiwa na jamuhuri sitapata chochote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kisheria

    Nilinunua shamba mwaka 2014 tuliandikishana ofisi ya kijiji mbele ya mtendaji na Mwenyekiti was kijiji Mwanambaya mkuranga ila mwaka huu naambiwa shamba sio langu na yule alieniuzia kwenda ofisi ya kijiji nakutana na Mwenyekiti akatukutanisha na muhusika Ila akaniambia aniandikie karatasi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

    Idara ya manunuzi nami naitaji kununuliwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hili la mifuko ya jamii linatosha kuing'oa CCM madarakani

    Ni maumivu kwa wengi natamani angekuwepo was kutusemea katika ili ili Pesa zetu zitoke
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi

    Kesho ntawajulisha kilichoendelea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi

  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi

    Asante ni ivi Nina ndugu yangu ameachishwa Kazi bila kosa ila kwenye barua ya kuachishwa Kazi ameambiwa kuwa ameshawishi na kushiriki mgomo siku ya tar 21 na wakati siku iyo yeye aliingia night na alifanya Kazi akatoka asubuhi pia akaingia siku iyo iyo jioni akatoka kesho yake. Ilipofika tar 4...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi

    Asante ni ivi Nina ndugu yangu ameachishwa Kazi bila kosa ila kwenye barua ya kuachishwa Kazi ameambiwa kuwa ameshawishi na kushiriki mgomo siku ya tar 21 na wakati siku iyo yeye aliingia night na alifanya Kazi akatoka asubuhi pia akaingia siku iyo iyo jioni akatoka kesho yake. Ilipofika tar 4...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi

    Ayo maneno yamejiandika tu nilitaka kusema amechanganyikiwa. Si mnajua simu ukiandika kwa haraka unaharibu ila kama imeeleweka nisaidieni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi

    Simu tu haikuwa lengo msaada lakini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuachishwa kazi

    Naombeni msaada wa kisheria ndugu yyangu ameachishwa Kazi kwa kosa lisiloeleweka a me hang any I kids afanyeje? Nilikuwa ni ivi wafanyakazi waligoma siku ya tar 21 murch ila yeye aliingia night akatoka asubuhi na akaingia jioni akatoka kesho yake anashangaa anapewa barua ya kikao cha nidhamu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Shikamoo naomba unisaidie mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi 3 huwa anakohoa mara kwa mara toka akiwa na miezi 6 akikaa sana anakaa mwezi, ukohoa sana usiku au karibia na asubuhi nimeshampeleka hospitali kila mara ubadilishiwa dawa mpaka naona namuumiza na dawa, toka aanze kusumbuliwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nyuzi kuachia au kutokushonwa vizuri

    swali langu ninaweza kushonwa kama nilivyoshonwa baada ya kujifungua? na nitaweza kurudi hali yangu kama ya zamani wakati sijajifungua? maana wananiogopesha kuwa naenda kufanyiwa oparesheni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nyuzi kuachia au kutokushonwa vizuri

    NESI ALIENIANGALIA ANASEMA SIJASHONWA VIZURI KWA NDANI NA NJE Nimejifungua kwa njia ya kawaida na niliongezewa njia mtoto wa kwanza. je ni tatizo kubwa sana la kupelekwa thieter na kupigwa nusu kaputi?, maana naogopa sana je hawatanishona kama mara ya kwanza nilivyoshonwa nilivojifungua...
Back
Top Bottom