Recent content by madameT

  1. madameT

    Mtu wa kuuza duka anahitajika

    Duka la nini
  2. madameT

    Anahitajika dada wa kufanya usafi kila Jumapili tu

    Samahani hayo malipo ni pamoja na kufua au usafi wa kawaida tu wandani?
  3. madameT

    Msaidizi wa kazi za nyumbani anahtajika

    Malipo sh ngapi?
  4. madameT

    Flagily na cipro kwa mjamzito

    TODAYS Asante kwa ushauri wako
  5. madameT

    Flagily na cipro kwa mjamzito

    Asante chasuzy ila wakati natumia sikujua kama mi ni mjamzito
  6. madameT

    Flagily na cipro kwa mjamzito

    Mi sihitaji kutoa mimba nataka kuzaa mimba nikitaka kutoa natumia musoprosal na vdonge flan nimevisahau jima na kunadawa ya kichina jina siwezi kuliandika.hapa nimeomba mnisaidie nimepata mazara gan na nitafanyaje kujikinga na kiumbe that all kutoa mi dawa nyingi nazijua mkuu.msaada wenu please
  7. madameT

    Flagily na cipro kwa mjamzito

    Hujui kama kuna mimba ya wk ?
  8. madameT

    Flagily na cipro kwa mjamzito

    Hapana chaki sitaki kutoa but niliumwa tumbo nikawa nahara nikanywa flagily baada ya kumaliza doz niliona natokwa uchafu wa haunuki ndio nikanunua cpro ili nikaushe ule ute sasa baada ya 2 wk nikagundua niko pregnant.sasa zile dawa zitanizuru vp na kiumbe na nifanyaje kujinusuru hayo mazara?
  9. madameT

    Flagily na cipro kwa mjamzito

    Habari wakuu, Samahani, mi nauliza, je, kuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba changa kama wiki moja kutumia hizo dawa? Pia kutoka na vidonda mdomoni (ukosefu wa vitamin B nadhani) kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa mimba ya wiki moja? Msaada tafadhali.
  10. madameT

    Nape: CCM itashinda tu uchaguzi mkuu ujao hata kwa goli la mkono

    Hayo ni maneno ya Nape na si CCM ye ajiongeleshe tu amalize kampen yake kwanza naami hatosimamishwa huyo.CCM itashinda tu kihalali kabasaaa
  11. madameT

    Mwalimu wa Literature and Geography anatafuta kazi

    Juzi nilona tangazo kuwa shule ya greebard wanatafuta mwl. So potia post utaona
  12. madameT

    Tofauti ya Diamond na wasanii wengine wa Bongo

    Ukweli mtupu... Azidi kujitahd kjana wetu
  13. madameT

    Vibarua maonyesho ya Sabasaba

    Sawa roytmellee
  14. madameT

    Vibarua maonyesho ya Sabasaba

    Wapi huko tupe namba walizoandika na vp wameandika mwisho lini kupokea watu
  15. madameT

    Vibarua maonyesho ya Sabasaba

    Asante sana mdau
Back
Top Bottom