Na wewe ndo wajinga walewale,wewe ulichoona Hollywood na kukifurahia unaamini hayo ndo maadili na sisi wote tuamini hivyo km unavyofikiri wewe. Hivi Bollywood nako si kunatengenezwa filamu!?? Ulishawaona wahindi wanavaa km wasanii wenu wa bongo movie!?? Tatizo mnapenda kujifungia ndani ya box...
Hapo kuna mawili,iwapo mahakama itajiridhisha kuwa hakupanga kwenda kufumania,atashitakiwa kwa kuua bila kukusudia kutokana na hasira za ghafla. Lkn km alipanga kwenda kufumania,ina maana pia alijiandaa kuua km ilivyotokea.
Maana km alijua mkewe yupo mahali anatafunwa,angeweza kwenda police au...
Kwani unataka kujua km alijifungulia hapo au unatafuta namna ya kumpata!?? Pale hata km hakujifungulia hapo,kwa vile aliwahi kutibiwa hapo basi na details za mahali anapoishi zipo. Ukimpata yeye mambo mengine yatafuata!!
Mkuu huyo mtoto siyo wako,na uliambiwa ki-utu uzima kuwa mtoto siyo wenu ni wake. Lkn amini huyo mtoto ana baba yake. Lkn pia km unataka kujua anapoishi nenda mpaka Mt. Meru hospital kwa vile unajua siku alizolazwa hapo utapata details zote za sehemu anapoishi hadi kitongoji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.