Recent content by Madamagatugije

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubunge 2015 Magu, Renatus Pamba

    "NYUMBA MLANGO NA KUFURI" Haya ndiyo Maendeleo aliyoleta Limbu na Chama chake kwa wananchi wa Magu" "TUNAMTAKA MBUNGE ATAYEKUWA NA SULUHISHO KWA MATATIZO KAMA HAYA"
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ubunge 2015 Magu, Renatus Pamba

    Daaaaaa" Tunahitaji mtu anayeifahamu vema Magu na matatizo yake, si vibaya tukiweka na kigezo cha uzoefu wa kuishi Magu angalau experience isiyopungua miaka 5 mfulululizo, mana wapo wanaojiita wa Magu kumbe wana miaka 20 hawajaiona Magu na hawafahamu matatizo yanayoikabili Magu, tunamhitaji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

    Hiyo dissertation iliyokosa msimamizi inahusu nini,? kama anataka awe bingwa wa UMBEA automatically hatapata msimizi!
Back
Top Bottom