Recent content by Madam Shakila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simon Simalenga, hujifunzi kwa Sabaya? Kila lenye mwanzo lina mwisho

    Hiii Wilaya kama imelaaniwa kuna jamaaa mmoja anatwa bhange anasumbua watumishi mpaka basi yeye anakula na mademu zake tuuu na kuwaoa vyeo, amesharipotiwa sana tamisemi kwa kukataa kusaini uhamisho wa wafanyakaxzi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

    Sukuma gang mchawi wetu huyu hapa, mambo yalianzia hapa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nawezaje kujiendeleza kielimu?

    Nimekujibu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu Mjipange

    Kuna tatizo kubwa sana mimi mpk sasa hivi natafuta kipengele cha waalimu wanaojiendeleza sijakiona
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nawezaje kujiendeleza kielimu?

    Nataja vyuo vya serikali mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu Mjipange

    Nisaidie jamani napata shida kwenye maombi haya mimi nahitaji kujiendeleza lakini vyuo vya serikali haviji katika majaguo yangu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nawezaje kujiendeleza kielimu?

    Niwe afisa elimu kata
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nawezaje kujiendeleza kielimu?

    Jamani mimi ni mwalimu katika shule X iliopo mkoa Y. Ninahitaji kujiendeleza kielimu kuchukua diploma lakini naingia kwenye mfumo wa Wizara ya elimu "tcm.moe.go.tz" siwaelewi. Kwanza wameweka limitation ya mwaka mimi niliajiriwa kitambo kidogo na wenyewe wanataka mtu awe amemaliza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

    DaaAAh wamemtimua
Back
Top Bottom