Sasa ni kheri walishe kwa ustaarabu kuliko kulishia kwa nguvu huku mkulima akiwa amefungwa kamba mikononi, kukalishwa chini na akishuhudia live mazao yake yakilishiwa na yeye asifanye lolote!
Toka kifo kimetokea na vurugu kufanywa na vijana, DC hajafika eneo la tukio kutoa pole kwa wafiwa, au kuangalia uharibifu mpaka leo hii?? Anaogopa nini??
Alishaonywa mara kadhaa kwenye mikutano ya wananchi lakini hakusikia, leo mauaji ya mkulima yametokea anapotosha habari, anamdanganya nani...
Inasikitisha kuona kuna upotoshaji mkubwa (misinformation) unaoendelea kupitia ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Na sasa DC amefikia kumdanganya hata RC morogoro juu ya mgogoro huu aliofuga mwenyewe tangu mwezi wa 6 mwaka huu!
Lakini mkutano wa Mhe. Mbunge Mgungusi uliofanyika jana uliweka bayana chanzo...
Who told you that anonymity is only for the live beings? Hao verified members ni anonymous? Watu wengi tu humu wana fake ids lkn wako known to their few confidants, and that's why unaona marehemu alikuwa anakutana na members wengi tu wa JF na bado alikuwa anonymous to the rest.
Kwamba now she...
Embu kuwa na staha walau kidogo tu kijana, kwakuwa Dena ni marehemu sasa ndiyo privacy yake ina cease? Jamii yetu bado inaheshimu utu, msikimbilie kwenye huo upumbavu wenu.
Wewe mbona haujaanika picha yako hapa? Unasubiri nn?
Vodacom Tanzania nimetuma hela kwenda CRDB tangu 8-12-2015 lakini mpaka leo haijafika kwenye akaunti husika. mhamala namba BW89KT189. Naomba nijulishwe kama imeshafika au vinginevyo irudishwe kwenye account yangu ya m-pesa.
aisee, nami yamenikuta leo. nimetuma hela 1M kwenda CRDB tangu tarehe 8-Dec-2015 mpaka leo chalii.
nimeongea na huduma kwa wateja naambiwa hela imekwama haikwenda. sasa imekwama wapi nami haijarudi katika salio langu?? imeambiwa nisubiri masaa 24, lkn hayo masaa 24 nadhani itakuwa siku 3 au 4...
its sad that you are totally misinformed. mobile money business (also known as mobile finacial services) follows same banking regulations, hazi operate bila ya kuwa na leseni ya BOT na trust account kwenye commercial banks. tenga muda kidogo na ujishughilishe kusoma hata kwa kupitia...
inawezekana sana. tatizo wanawake wengine wamekariri kwamba wanaume wote baba yao ni mmoja, la hasha! wanaume wanatabia anuai sana:
- kuna wenye kinyaa ... hawapendi chovya chovya.
- wasiopenda kuku mdondo ... ila wanapenda kuku wa kienyeji, shurti atoke jasho kwa kumkimbiza ndo aone radha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.