Recent content by Macs

  1. Macs

    Lililofanyika nchini Ghana likifanyika hapa Tanzania tutaumbuka wengi!

    Hakuna ukwel wa jambo hilo kwani hata wanawake nao wana matatizo ya uzazi wengine mirija imeziba etc ukitaka kujua hilo muulize Dk mwaka akupe elimu zaidi matatizo ya uzazi ni %kubwa kwa akina mama
  2. Macs

    Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Kwani una watoto nae wangap na wanakaa wap kwako kwake
  3. Macs

    Naomba Ushauri: Mchepuko anataka kunipangia nyumba na kunipa gari

    Hicho kifo akingundua mumewe ww utakaa wapi atakutoa roho gari familia utaacha kwa matatizo ya kujitakia kumbuka penz ni kikohozi
  4. Macs

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    We sikiliza umenichosha kwa barua yako isiyokuwa na mashiko huo utafit ulioufanya ni batili na hujielewi unachosimulia Kwanza umesema mungu anakaa juani na binadamu yeyote hawez kufanya utafiti. Hata kwa kiona mbali Je wewe ni nani au c binadamu uliosema hawawez kufanya utaft? Niambie sasa ww...
  5. Macs

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Je kweli mungu ni mkubwa kama vitabu vya dini vinavyosema? Ukisema mungu mkubwa maana yake anafanana na kitu Kama vile (mt everest) mt Kilimanjaro etc. vitabu vinasema mungu ana uwezo kuliko vitu vyote Je anaweza kuumba kitu cha kumzidi yeye mungu na kama anaweza kuumba kitu cha kumzidi bac...
  6. Macs

    Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

    Mmmm punguzen kingereza waelewe na wengine maana mada nzito nataka kuboresha hapo bado nafikiria niboreshe vp
  7. Macs

    Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

    Tuamini kipi kati ya wanasayansi na vitabu vya dini?
  8. Macs

    Mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani huu ndio mlo wangu wa kila siku!

    Huyo anadharau mlo anaokula unapata had matunda bado unalalamika kweli mtanzania kazaliwa kulalamika huyo mi namwita ni waupande wa pili
  9. Macs

    Mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani huu ndio mlo wangu wa kila siku!

    Mlizoea kuiba mwenye mali kaja mmeiba sana sasa mwisho nchi imerudishwa kwa mwenye nchi wengine waligewa wakawapa wazungu wakachimba madini mkataba miaka mia na kutiachia mashimo SASA HAPA KAZI TU
  10. Macs

    Panya Road wavamia Chamazi

    Kwan hao pana road hawana wazaz c wanao wakulaumiwa wazaz wao na humhum jf kuna wazaz wanaojua kuwa kijana wake ni panya road c kwamba tuiachie selikar tu tuwakanye watoto wetu
  11. Macs

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Kwel nilkuwa miad na dem baada ya kumwona mtandaon mzur kwel tukafanya miad tukakutana chaka lakini alivyokuja tofaut nilivyomwona mtandaon nikamuuliza kwani ndo wewe kasema hajajipodoa nikijipodoa nakuwa babkubwa ikabid nimrudishe bila kuingia uwanjani kwel mkuu hii c tabia nzur
  12. Macs

    Is God the source of evil?

    Kwa hiyo mbpna huendelei
  13. Macs

    Scorpion ni mtaratibu sana, ni kiongozi wa dini

    Na kama mtu kamtoboa macho mtu kwa nn astobolewe na yeye?
  14. Macs

    Scorpion ni mtaratibu sana, ni kiongozi wa dini

    Kwa hiyo huyo mtoboa macho sie kuna mwingine huyo sister miyeyusho astake tukasema mengi
Back
Top Bottom