Recent content by macmeshack

  1. M

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mkuu, je bidhaa kufuata China au kununua ktk tovuti kama Alibaba.com ipi gharama ni nafuu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Mkuu nyumba yangu rangi inabanduka afu chumvi zinapanda ukutan. Nifanyeje kuzuia?
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Mimi nilitapeliwa elfu 30 na mtu aliweka tangazo la kutengeneza app. Iliniuma sana maana nilikuwa nahitaj sana app kwa ajili ya kuniingizia kipato. Mungu atanipigania juu ya huyu tapeli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Story behind your date of birth

    28 julai
  6. M

    JamiiForums Tanzania Platinum credit mikopo nafuu kwa riba ndogo kabisa

    Nina shamba lenye hati ya kimila. Je naweza kopea?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Dodoma

    Chumba - self contained, sebule na jiko. Kodi tzs 150,000 kwa mwez.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuna kutafutia wateja ndani ya dakika kwa bei nafuu

    Napangisha nyumba servant quarter Dodoma. Njoo pm
Back
Top Bottom