Recent content by mackie

  1. mackie

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    ROBERT KOUBA........the father of singularity......noma snaaaa huyu mtu kaweka wazi physcs of the future kwenye hiyo movie ya singularity....ukipata muda tazama movie ya THE HOLLY KANE EXPERIMENT ,utaona ni jinsi gani cybertechnology na life of the future vinavyoelezewa kwa undani..huwez amini...
  2. mackie

    Namna ya kufungua documents zilizoliwa na virus kwenye flash

    Kama kichwa hapo juu, naomba nitoe somo kidgo kuhusu namna ya kurudisha au kutoa documents zako zilizofichwa na virus kwenye frash yako,. ni rahis sana na haitakugharimu kitu chochote ,fuata maelekezo hapa chini halafu utafanikiwa . 1.weka frash yako kwenye pc , 2.bonyeza start ,halafu bonyeza...
  3. mackie

    Namna ya kufungua documents zilizotafunwa na virus kwenye flash

    Kama kichwa hapo juu, naomba nitoe somo kidgo kuhusu namna ya kurudisha au kutoa documents zako zilizofichwa na virus kwenye frash yako,. ni rahis sana na haitakugharimu kitu chochote ,fuata maelekezo hapa chini halafu utafanikiwa . 1.weka frash yako kwenye pc , 2.bonyeza start ,halafu bonyeza...
  4. mackie

    Napataje free VPN bila kuilipia?

    shukrani mkuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mackie

    Napataje free VPN bila kuilipia?

    Kama kichwa cha habari hapo juu, Nahitaji kuingia net untresable lakini nashindwa kuinstall VPN sahihi kwenye PC yangu. Wananiomba visa nilipie but mi nahitaji free, vipi naipataje hiyo free? Naombeni utaalamu zaidi kwa wale wajuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mackie

    Tatizo lolote la PC/device

    sinaga waswas na wew. huwa nakuelewa snaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mackie

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    mkuuu hivi Aumbeyang ndo tumeachana nae au Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    poa bro.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    daaaaah..i have done as per instructions from you, unfortunatilly the problem has subsided...daaaah...you are so marvelous chif......nimeifungua sehemu ya hard disk nikairudhisha nikaikaza vizuri nilipofunga na kuiwasha ikawkaa vizuri....thanks much brother....jamiii forum ni kisima cha...
  10. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    thanks much.. let me do it.....i will inform you soon... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    nipo moro kwa sasa....nakupataje shehe Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    poa..shukran ngoja nijaribu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    kwa ushauri nipige window gani.?? labda itakuwa fitable Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mackie

    PC yangu inaleta maandishi haya,tatizo nini

    duuuh.....nimepiga mara mbili but still the same Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom