Recent content by mackdy1

  1. mackdy1

    Sakata la Mafuta na Sukari: Mwijage, Majaliwa, Rais Magufuli kila mtu anatoa kauli yake tofauti

    Tatizo wanalindana,sasa wanayemlinda anawageuka na ndo analeta mabomu kama ya jana
  2. mackdy1

    Hii ya kutoza kodi Vitabu vya Dini Tanzania tusiige!

    Tatizo wanatumia biblia km muamvuli wa kupitisha madudu yao....nahisi ndo mana wameanmua ivo.....dini saivi ni sehemu ya ulaji....we mchungaji,nabii,wainjilisti,wanamiliki mi mali yote ile haaaaaa kuna kitu... Bora ije hivohivo na huku pia
  3. mackdy1

    Serikali yafafanua suala la mikopo kwa wanafunzi waliosoma shule binafsi

    Mtolea alichohiji ndivo ilivo kichwani mwa wanafunzi wengi wanaohitaji mkopo......sasa nashangaa wazir anasema pesa ni finyu kukidhi wanaohitaji,then ye raisi anasema pesa ipo ya kutosha......mi sielewi kwakwel
  4. mackdy1

    Ziara za 'kushtukiza' Bandarini: Nani hamwelewi Mhe. Rais na Wasaidizi wake?

    Na aliyeficha ayo mafuta masafi angetolewa tyu
  5. mackdy1

    Ziara za 'kushtukiza' Bandarini: Nani hamwelewi Mhe. Rais na Wasaidizi wake?

    Ila kwel.......sijui nani uyo apo bandari ni kichwa kigumu
  6. mackdy1

    TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

    Hahahaaaaa......afu kumbe wanweza kurusha live afu bureee...akat huku wananchi tumenyimwa bure kumuona ndugai akisoma bajeti
  7. mackdy1

    TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

    Live afu buuuure kua inawezekana ndo nlkua sijui km wanaweza fanya
  8. mackdy1

    TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

    Kumbe live inawezekana tena bure....nlikua sijaelewaga!
  9. mackdy1

    TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

    Michuano ya kombe la dunia itarushwa live kupitia chanell ya taifa kwa kushirikiana na TV1... Nani kafurahishwa na hili[emoji41] [emoji41] TBC1 itaonesha bure michuano ya kandanda ya Kombe la Dunia. Michuano hiyo itakayofanyika nchini Rusia itafanyika kwa muda wa mwezi mzima kuanzia tarehe...
  10. mackdy1

    Kero: Tozo kubwa inayolipwa na wananchi daraja la Kigamboni

    Ila ni kweli.....miradi mingi ipo kwa kuingizia kipato serikali ila sio kuwasaidia wananchi.....wapunguze....ila wakipunguza sana itakua fujo pale...siku kazaa watu watanyea
  11. mackdy1

    Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

    Ukisubiri umvue nae anakaza *****....muelewa anachojoa mana anajua kafata nn geto....mi sitaki chupi zao...ila naitaka ila jim kan hin
  12. mackdy1

    Serikali yasema mradi wa bomba la mafuta utachelewa sababu ikiwa ni upande wa pili

    Kuna jamaa angu ndo anasubiria iyo kitu tangu 2016...waliambiwa wanaanza mwezi wa 3 huu mwaka hola...afu tena nasikia ayo tena...manina wallah shuguli kwelkwel
Back
Top Bottom