Kumekua na kasumba wanasiasa wa bongo wanapopata wakitakacho husahau kapisa kuwapigania wananchi wa chini na kujali sana matumbo yao, hupenda kuongea sana kwenye majukwaa lakini kutekeleza ndo kasheshe pingi warudipo majukwaani kwa kua wanajua sisi tunanjaa wanatudanganya na vitu vidogo kama...
daa sina iman maana kwa sasa uchumi umetikisika kwa kiasi kikubwa alafu kwa sasa serkl imejikita kwenye mitihan ya darasa la saba, form two, form four so nazani wenda mchakato huo ukaanza baada ya hili gurudumu ila tusubiri maajabu ya Musa yaweza tokea wenda Mungu kasikia kilio chetu
hali ya ongezeko la vijana wengi waso na ajira nchini inazidi kuongezeka kila machweo hata wale walotegemea kuajiriwa na serikali kumetanda kiza nene wasijue hatima yao baada ya ahadi waloahidiwa kupita je kama hizi ahadi ndogo ndogo hazitimii kwa wakati uloaidiwa kwenye mass media je hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.