Recent content by Macho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ofisi ya DPP wanatuona Watanzania ni wajinga na Vilaza? Huyo mwizi kaibaje computer kwenye ulinzi wa CCTV na jeshi lenye SMG & AK47

    Hata mimi baada ya rais kuapisha wateule jana nikahisi kabisa kigogo anatumiwa na serikali kuwahamisha watu kwenye mambo ya msingi na kujadili upuuzi na kwa 100% wamefaulu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii si dalili njema kwa Watanzania na Tanzania kama nchi, tujitafakari kwani huenda kuna mahala tumekosea

    Yaan sisi mtaan kwetu mwenyekiti wetu wa mtaa miaka 15 tunamchagua yeye akitokea chama pinzani tena alikuwa anashinda kwa kishindo na tulikuwa tunahamasika sana kupiga kula kwa sababu yake kwakuwa alikuwa msaada mkubwa sana kwa wananchi wake anaotuongoza maajabu juzi tu hapa kahamia chama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

    Kweli Lizabon muda mrefu hapatikani jukwaani sijui kasusa kwa kukosa teuzi!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame: Tumepambania Haki za Binadamu na Uhuru wa Watu wake kuliko Mtu mwingine yeyote

    Ngoja wajuzi waje watupe majibu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Membe for presidency? That’s just another political masturbation

    Me napita tuu hii thread ina wenyewe nitarudi nikipata mkalimani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, mradi wa Bagamoyo na kisa cha Sultan Mangungo wa Msovero

    Hao wachina wa kuwaangalia sana katika mikataba yao leo hii ukienda Zambia utazani uko China wamehodhi vitu kibao vya wa Zambia sababu ya madeni wanayowadai
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

    Kweli mkuu takriban miaka 6 imepita kuna jamaa tulikuwa tunamuona uwanjani shule ya msingi k/nyama kisiwani akiokota makopo anakuja kwa mapusha pale uwanjani ananunua ganja anavuta anaondoka zake end of day kaja kuchomolewa mtu na manjagu pale uwanjani inasemekana jamaa ni mtu wa kazi wamefanya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waitara atoa agizo ma Afisa elimu waanze kuwa na vipindi darasani.

    Daah!! Hatari sana nilienda kutembea nyumbani kidogo nikakuta afisa elimu wa wilaya yetu kapelekwa shule moja huko vijijini akafundishe sasa sijui atafuatiliaje matatizo ya shule zingine ikiwa yeye mwenyewe tayari anawajibu wa kuingia darasani kila siku
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bundi aingia ndani ya ukumbi wa Bunge leo asubuhi

    Mara nyingi bundi akija nyumbani kwenu akakaa juu ya paa au kama kuna mti jirani na nyumba yenu na akalia ujue kuna mtu atakufa kwenye familia yenu sasa hapo bungeni wajiandae
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

    Baada ya stress za mwaka mzima nimejikuta nina amani ya moyo na akili baada kusoma koment za huu uzi😂😂
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

    😂😂mtapata tabu sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watu 10 hatari nchini: Evarist Chahali akwepa mtego wa kwanza kutoka "kitengo"

    Kifupi hii picha ina uwezekano mkubwa haihusiani na hiyo ID sababu kuna account nying facebook zinatumia picha hiyo
Back
Top Bottom