Recent content by MACHETE1993

  1. MACHETE1993

    Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Yeaah... walimu bora ni hawa wa degree tuu ila huko diploma na certificate ni wale waliofeli form 4... kweli mwal gan anapata 0 usahili maswali yote hata moja hajui
  2. MACHETE1993

    TEACHER'S ONLY: KAMA UMEFANYA USAILI PITA HAPA.

    1...... 2.explian briefly about your self 3.what do you consider when preparing mathematics lesson (five points) 4.what strategies do you consider to make mathematics to be simple to students (five points) 5.what is the importance of professional development in mathematics ( five points)...
  3. MACHETE1993

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mimi sehemu ya ku edit machaguo haipo kabisaaa kila nikitaka kubadili siioni nashindwa[emoji25][emoji25][emoji25]
  4. MACHETE1993

    RC Makalla hongera, umelisafisha Jiji la Dar

    Kote hadi hadi mkuranga.... geza vibanda vimebomolewa[emoji25][emoji25][emoji25]
  5. MACHETE1993

    Ishu ya vibanda fikirieni mara mbili, mnaharibu maisha ya watu

    Huku Kigamboni watu hawajaziba njia wala barabara..... wako mbalii kweli na main road ila wamebomolewa kisa vibanda vinachafua mji
  6. MACHETE1993

    Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Tulieni ameongeza siku 12 jamani
  7. MACHETE1993

    TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Cha kushanga hakuna hata namba ya idadi inawezakana ni majina 3000 tu haya.....
  8. MACHETE1993

    Speaker ya Samsung A10s

    Simu yangu hii A10s ilinunua used kwa mtu ila sauti yake iko chini saaana ninaweza kubadili speker ikawa poa au tatizo nn mbona sm zngne A10s zinatoa saut vzur tuu
  9. MACHETE1993

    I am looking for a teaching post

    Natafuta kazi ya kufundisha. Umri wangu ni miaka 24 napatikana nyakato mwanza. Elimu ni shahahada ya ualimu ya masomo ya sanaa (geography na linguistic) Nina experience ya miaka 3, na uwezo wa kufundisha secondary, primary na nursery pia tuition center...... My contact:+255716478972 Sent using...
Back
Top Bottom