Hizi ndizo sababu za wanasiasa wengi kuidai katiba mpya/ kuipinga
Ni wazi na kweli kabisa kwamba watu wengi hususan wanasiasa, wamekuwa wakiidai katiba mpya ya tanzania kwa nguvu zote.
Hata hivyo, itakumbukwa wakati Samia anaapishwa kuwa Rais, alisema anajua kuwa miongoni mwa mahitaji ya...
Hizi ni sababu za waotaka katiba mpya Tanzania
Utawala bora na utawala wa sheria ni upi? Ni maswali ambayo hujiuliza watu wengi nchini Tanzania na ni moja ya vilio vya baadhi ya Watanzania kwamba kunakiukwa katiba ya nchi.
Mifano ya uvunjifu wa katiba ni suala la wabunge 19 wa Chadema ambao...
Hapana sio akina Seth, alichosema huyo atalipa b.26 zilizobaki atalipa nani? Kwa maana nyingine wasakwe waliogawiwa na wote warudishe mgao, je itawezekana?
Bila shaka swali zito kwa Mwamposa anayetoa majini, Mtume Mwingira, Nabii Melisa, Mzee wa Upako, nabii Geodavie, kuhani Musa na wengine wengi wanaosema wana miungu wao wa kutoa majini.
Mchungaji Kibona ni rafiki yangu. Alikuwa mchangiaji sana humu na nafahamiana naye. Namtafuta sana sijamuona siku nyingi, miaka zaidi ya mitatu. kama yupo anitafute anajua namba zangu.
Huu ni 'utamaduni' wa CCM tangu enzi za Mwalimu Julius Nyerere wanazungumza na wazee wa Dar. Hata Mwalimu alipokuwa akitangaza vita ya Kagera nakumbuka alizungumza na wazee wa Dar pale Diamond Jubilee. Ni utamaduni ambao wengi tunasema CHANGE lakini wenyewe hawataki. Wanabaki na mawazo yaleyale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.