Recent content by Macchambal

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    INAUZWA; Samsung Note 8 BEI; Tsh 330,000 RAM; 6GB STORAGE; 64GB MAHALI; Ubungo Dar es salaam. Haina shida yeyote, protector ndo imecrack Njoo tufanye biashara nina shida Nipigie 0756185309
  2. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma

    Weka bei
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vifaa vya maabara ya Afya kwa jumla

    Nahitaji Examination Gloves, MRDT Na HIV kits na vifaa vingine vya maabara. Kwa bei ya jumla. 0785416449.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Sony xperia xz
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Sony xperia xz1
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mizigo nimeingia clean as new. Sony xperia XZ1 ram 4gb memory 64gb Sony xperia XZ ram 3gb memory 32gb. Karibuni 0785416449. Sina bei.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Sony xperia xz Display 5.2" Ram 3GB Internal Memory 32GB Njoo na bei yako.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaa vya bakery na ushauri wa biashara hiyo

    Wadau nisaidieni wapi naweza pata vifaa vya bakery kama Oven kubwa, Mixer na vingine vinavyo hitajika kwe biashara hii. Bila kusahau ushauri kutoka kwa yeyote mwenye experience na biashara hii. Asanteni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nipo!
  10. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nipo!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung Galaxy S8 inahitajika. Njoo na bei ya jioni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Bluetooth speaker kali yenye ubora inakaa na charge kuanzia saa 12. Used au Mpya. FASTA Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji simu ya kununua aina yeyote. Budget yangu 100k -150k. Fastaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina diploma ya clinical medicines

    Mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo na kufanikiwa kupata diploma ya Clinical Medicine natafuta kazi mahali popote Tanzania nina uzoefu kidogo chini ya miezi 6. Kwasasa nipo dar-es-salaam, Mawasilino; 0744239412. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom