Recent content by Macbook pro

  1. Macbook pro

    Wanawake wa Kahama bwana

    Wewe ni Mjinga tu, Umetokgoza wanawake 10 tu ushahitimisha kuwa walioko Kahama ni Malaya. Unauhakika dada zako na mama zako wadogo na wakubwa hawapo Kahama ?? Acha umalaya
  2. Macbook pro

    Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

    Kuna Mzee hapa nimemuonyesha hii post, amesadiki kuwa ni ukweli. Yeye anasifika kwa uganga
  3. Macbook pro

    GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

    Nimekuja kuamini kuwa Kwa kusali tu hakuna nchi itakayokbolewa. Mungu ni Mungu wa Vita, Hata waisrieli walipigishwa vita na yeye akaja kuingilia kati. Wapumzike kwa Amani wote waliokufa wakiwa wanapaza sauti zao.
  4. Macbook pro

    Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

    Ndg mtoa post, ulichokisema ni Kweli.
  5. Macbook pro

    Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

    Wewe ni mkenya ??
  6. Macbook pro

    Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Sasa kama unaandika maneno ya mahaba kwenye status na unayemlenga unaweza kumtumia private tu huoni kama ni Ushamba.
  7. Macbook pro

    Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Sawa, Ahsante kushiriki
  8. Macbook pro

    Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Promo ni nyingi! Jamaa si mara ya kwanza. Alfu anaandika maneno ya kimahaba si umwambie huko private au basi mwambie wazi wazi mkiwa mbaonana. Naona kama ushamba
  9. Macbook pro

    Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Ni ushamba! Kwani kumpost hivyo lemgo lake hasa ni nini ??
  10. Macbook pro

    Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Habarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ? Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani (Utumishi). Nimekutana na post ya mshikaji mmoja amepost picha ya Mwanamke ambaye ni mke wake kwa...
  11. Macbook pro

    Hofu imenitanda, Nimeona mtu anachinjwa shingo

    Hii ndio sababu bangi haitakuja kuuzwa Supermarket za Hapo Bongo.
Back
Top Bottom