Recent content by Mac Ali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

    Si tunaishi nao ivo ivo,,,,sikiliza ngoma ya chidibenz ft simba la masimba dangote
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mpunga

    Sawa kiongozi tumekupata,naomba kuuliza Gunia moja la mpunga ukikoboa unapata kiasi gani plz naomba kujua
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi?

    😂😂Nacheka kama mazuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuzungumza kingereza

    Ilo group la WhatsApp liliundwa bandugu
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuta namba ya simu ya unaempenda akifariki ni Jambo kubwa, omba yasikufike

    Ni mwaka wa kumi sasa toka nifute namba ya brother R.I.P my brother 😥😥💔💔
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

    Ni mimi mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

    Biashara ya chips mkuu mitaaa ya kinondoni Manyanya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips

    Habari wana JF Nauza vifaaa vya kufanyia biashara ya chips pamoja na locationya kufanyia kazi kama ifuatavyo. 1. Kabati la aluminium ngazi 3 2. Jiko la gesi 3. Kalai 4. Jiko la kuchomea mishikaki 5. Jiko la kuweka malanda 6. Viti vya plastick 7. Mtungi una gesi kidogo yakuanzia Vifaaa vingine...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

    Pambana mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

    Mkuu nilifungua biashara ya chips mjini uko ila mambo hayajaniendea vizuri nimeamua nifunge nianze biashara nyingine tu.. Location Na vifaa naviuza kwa anaehitaji anicheki PM tuyajenge ntamfanyiaa ofa baadhi ya vitu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria

    Nina wiki ya 2 sasa toka nimefunga biashara yangu ngoja nijipange upya kweli mjini pazito asee🙌🙌
Back
Top Bottom