Recent content by mabungo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    Wako sahihi kwa sababu wanatetea wananchi. Kuna haraka gani ya kupitisha Hiyo miswada?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Chuo kikuu UDSM, Balozi Fulgence Kazaura afariki dunia

    ni kweli alifariki jana huko India. Msiba upo huko nyumbani kwake Oysterbay. RIP kazaura
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu watatu wa familia moja waliuawa kikatili, kwa kunyongwa na watu wasiojulikana

    Poleni sana ndugu mliopotelewa na ndugu zenu kwa kuuawa! Mungu awalaze mahali pema peponi. Mshana, kama ungeweza kurushiamo na kapicha kidogo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Budject ya serekali

    Habari JF Members. Nimefuuatilia budget ya serekali iliyosomwa leo jioni nini maoni yako kuhusu budget hii? Naona kama inaenda kufanya maisha ya walalahoi kuzidi kuwa nguvu hasa ukizingatia kupanda kwa gharama za mafuta? Wewe unasemaje? Karibu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchi hii haina mwenyewe??

    Nasikitika kwamba Ving'amuzi tulivyonunu kwa shinikizo kwamba tunatakiwa kuwa KIDIGITALI havina maana. Nasema hivyo kwa sababu inavyoonekana hii ni biashara ya wakubwa kwa sababu kama tulivyoelezwa na idara ya Mawasiliano tutakua tunaangalia Local Channels bila shida ila nimenza kuwa na wasiwasi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Habar wana JF, Nimesikia kwenye vyombo vya habari kua hali ni tete huko Mtwara na watu wameshapoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Waliopo kwenye eneo la tukio mtujuze tafadhali hali ikoje hivi sasa. Asante
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

    Nadhani apewe haki yake kama ni kunyongwa anyongwe tu na kama ni kuachiwa huru aachiwe lakini lazima HAKI itendeke.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Nasikitika kama nchi imefikia hapa. Serekali imeshindwa kabisa KULINDA Raia na MALI ZAO. Mungu tuokoe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya KCMC Moshi! limebaki jina tu.

    Nakubaliana na wewe kabisa. Kweli limebaki jina tu. Wakati alipokuwepo Prof. Shao mambo yalikuwa mazuri ukilinganisha na mkurugenzi wa Sasa Dr. Ntabaye. Hospital hii haiwajali wafanyakazi wake hata kidogo na watu wanafanya kazi ila mradi siku ipite jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Kuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Tundu Lissu ametolewa BUnguni kwa nguvu baada ya kuomba muuongozo kwa Naibu spika
  11. M

    JamiiForums Tanzania Marehemu Askofu Msarikie Kuzikwa Leo. Misa ya Mazishi kuanza saa 4 Asubuhi.

    "Apumzike kwa AMANI" Tutakukumbuka milele kwa mema yako. Waliohudhuria watume picha zenye matukio tafadhali.
  12. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

    Mbona unaonekana kama kichwa chako kinatope? Umeshafafanuliwa huelewi. Go to heal
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Asanteni kwa kunijuza. Lakini jambo hili halitakiwi kufanyiwa mzaha kabisa. Waliohusika wakamatwe wapelekwe mbele ya sheria. Lakini kama ninavyojua Polisi watakuja na mambo kibao hapa. ILA MKONO WA MUNGU UPO kwani hata pasipoonekana panaonekana. Padre Mungu akujalie upone haraka.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Nimesikia kuna padre amepigwa risasi Zenj na watu wasiojulikana. Kama kuna mtu mwenye taarifa atujuze tafadhali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Nimesikia hivi punde kuna padre kapigwa risasi na watu wasiojulikana Zanzibar. Nani anataarifa atujuze tafadhali
Back
Top Bottom