Recent content by mabumunda

  1. mabumunda

    Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    mto hoja kuwa na huruma hii ni nchi yetu sote...aliyepoteza maisha n mtanzania au kwa sababu sio ndugu yako ndo unaongea ujinga huo....siku moja itakijapoteza ndugu katika maxingira kama haya ndo utaelewa vizuri ulicho kiandika......
  2. mabumunda

    Hivi hii Hali inanitokea mimi tu au na wengine

    hahahaha...coment zingine raha sana..
  3. mabumunda

    Wanachadema, Hivi hili asemalo Dr Godwin Mollel ni Kweli?

    tuambieni ruzuku ya ccm inatumikaje kabla hamjahoji matumizi ya ruzuku ya cdm....
  4. mabumunda

    Viongozi wa CCM waheshimiwe na waajiriwa wote wa Serikali

    Viongozi wa Serikali wanapaswa kutambua kwamba viongozi wa CCM ndio hasa wanaostahili. Kiongozi wa Serikali wa cheo chochote anawajibika kwa viongozi wa CCM,” alisema Rais Magufuli na kuamsha shangwe kutoka kwa wajumbe wa mkutano huo. “Viongozi wa Serikali katika ngazi yoyote watambue kuwa...
  5. mabumunda

    Serikali ya Tanzania yanunua Vichwa vya Treni vilivyokuwa vimetelekezwa Bandarini

    raisi kizindua tawi la benk ni aibu!wazir wa fedha afanye kaz gan sasa?.kilakitu anazindua yeye loo!..hata msiban hajaenda kiafrika msibab n lazima ubize tunaweka pemben....
  6. mabumunda

    Serikali ya Tanzania yanunua Vichwa vya Treni vilivyokuwa vimetelekezwa Bandarini

    vile vichwa vilivyotelekezwa bandalini na watu wasiojulikanavimenunuliwa na serikali,sasa najiuliza wamenunua toka kwa nani..... ' Aidha Prof. Mbarawa amezungumzia umuhimu wa kuongeza vichwa vya treni kwa Shirika hilo ambapo Serikali imeamua kununua vichwa 11 vya treni vilivyotelekezwa eneo la...
  7. mabumunda

    Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    magu nae ye ndo mkamataji,hizo pesa hazijaibwa sehemu ni za mtu so kinini kinamuwasha,inaonekana jamaa hapendi mtu ukiwa na hela nyingi.vyuma vimekaxa labda hyo pesa ingeingia kwenye mzunguko ingelegeza vyuma hivi...
  8. mabumunda

    Nimeshtushwa sana na maneno ya huyu mwanamke

    kaka huyo anakupima ajue kama unampenda kwel...usikubali mwambie majukumu yake kama mke ww utamsaidia tu endapo itabid labda awe anaumwa ndo umsaidie.kiafrika mwanaume haoshi vyombo,hafui wala kupiga deki...
  9. mabumunda

    Mpenzi wangu hanihudumii wala haniridhishi kimapenzi

    hisia zikipingua ndo madhara yake hayo
  10. mabumunda

    Hukumu ya Lulu Gerezani Imesaidia Wengi, Imesaidia Mengi!, Babu Seya Nje, TV Hadi Magerezani, Mazuri Mengi Zaidi Yaja!.

    we paskal unaandika ujinga gan huu..et kutokana na mazuri ya maguful hakuna haja ya kufanya uchaguzi 2020!..hizo kauli uache kabisa kama we unampenda magu ni wew na sio wote...
  11. mabumunda

    Mbunge wa Jimbo la Liwale CUF Zuberi Kuchauka, muda wowote atahamia CCM

    leo wapinzani wanahongwa na kununuliwa et wanaunga mkono juhudi za raisi,kama anajuhudi ya kazi ni wajibu wake,ila cha ajabu ndiyo raisi wa kwanza mwenye juhudi kubwa toka uhuru sasa sijui huzo juhudi anafanyia wapi mbona binafsi sizion labda tuwaulize wanachato...wanaomuunga mkono kwa kuhamia...
  12. mabumunda

    Wanaume hata tupewe tunda tamu vipi bado tutahitaji mechi za ugenini. Je ni nature?

    utashi wa kibinadamu na wivu ndo uleta mambo ya mke mmoja ila naamin kiasili mwanaume anatakiwa awe na wanawake wengi tu kama walivyo ndege,ndege wa kiume....
  13. mabumunda

    Mh Rais anaelewa athari za kauli yake kutoongeza mshahara kwa watumishi?

    unaweza eleza mengi ila tuna poor president...
Back
Top Bottom