Recent content by Mabula Msirikale

  1. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

    "Ghasia na uvunjifu wa amani yaliyotokea katika Uchaguzi mkuu" Huu ni ujinga. Maelfu ya Watu waliuwawa kikatili wao wanassema ghasia.
  2. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Samia ampongeza Museveni kwa ushindi Mnono wa asilimia 71.6%

    Prince alikuepo Uganda last week, coincidence?
  3. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Senegal huko AFCON ni kama wa CHADEMA

    Mimi siwezi kuangalua mechi yoyote ya Afrika
  4. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa fedha na utawala NIDA yupo ndani kwa makosa ya uchochezi

    Polisi wa Nchi hii ni Watu waliofeli form IV. Hapo wameona ndio wametumia akili nyingi kuja na mchongo wa mashamba
  5. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania CCM na Project yao na ‘LUCY Mkatoliki’ bado hawajakoma. Wasikilize tena

    Fr Kitima ni lini ameteuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu?
  6. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    UZALENDO kwa Tanzania
  7. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Foleni Mbagala inakera sana, ‘Trafiki’ wapo bize na Daladala tu

    Hii Nchi hakuna Viongozi, kuna madalali tu. Rais alikua JK Nyerere na JPM tu
  8. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    Ukimfugulia mtu baki mradi, halafu fedha zikahudumie wazazi inakubalika?
  9. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Here we go again: US to suspend immigrant visa processing from 75 countries (including Tanzania) over public assistance concerns

    Atakupotezea muda huyo anajua mambo ya Yanga na Simba na bongo movie bongo flavour tu.
  10. Mabula Msirikale

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Shetani hana huruma kwa binadamu hata siku moja
Back
Top Bottom